Mkuu Cyberteq!, you have the powers!.
Nenda kanisome HAPA ujue how to put them in a good use!.
Pasco
Mmh pole umenikumbusha mbali Sana.
Nakumbuka nilikuwa na bf those years back. Nilimpenda kuliko hata nafsi yangu. Basi imeendaa akawa na mtu pembeni bila mi kujua. Kuna siku ikatokea huyo dada ajanitumia sms ya kunikashfu sana. Nikamwambia jamaa akabisha kuwa na uhusiano nae na hapo relationship ilikuwa imeshakuwa official kwao na kwetu.. nilikuwa nalia day and night. Nimejibembelezesha kwa jamaa wapi... baada ya miezi kibao ya kuumia nikasema enough is enough nikakata mawasiliano but kwa kumwambia maneno mabaya Sana like you will never be happy...hutafanikiwa etc etc.
Mmmmh baada ya two years nikasikia jamaa yupo vibaya mno kiuchumi...pia hana relationship stable kabisa.
Kuna siku bahati mbaya Sana si nikakutana nae bhana mahali....mmh nilichoka kabisa maana akaniambia kila anachofanya hajafanikiwa.La ajabu eti anasema eti ooh naomba ukubali nikuoe siwezi pata mtu kama ww.
I was like are you a nut case!!!
Sijaeleza yote asije akawa yupo humu akajua buure but no mengi na mabaya alinifanyia....
Kwa hiyo unamaanisha kauli yako ndiyo ilibadilisha mkondo wa maisha yake?!!
Hivi unajua maneno yanaumba? Hivi unajua shetani anatumia maneno ya binadamu kupitishia laana zake? Inawezekana havihusiani but inawezekana pia laana uliyoapiza kwake ndio inamuathiri...
Nakushauri tu ufanye utaratibu wa kuifuta hiyo laana kwa mwenzio. .. msaidie kwa hilo
Duuu.Yakupasa ujifunze kukubali kutokubaliana na wenye mtizamo tofauti.Kwa maneno uliyoandika u seem to be the weakest in mind.
Ni kweli mamy ila kuna muda kuropoka huko kunatu cost!!!
kuleeeeee umenizingua ndo maans na mimi nakulaani ukitaka nkusamee nielewe
The boss unaamini bible?
Maana hivi vitu kule viko waziwazi sana
Ni kweli. But sijui kwanin kwangu inakuwa ngumu kumsamehe toka moyoni...nimeshindwa kabisa.
Wewe Naomba tuheshimiane sawa? We umeelewa nilichoandika au umenivamia tu?
kwa mara ya kwanza..
Pole TATIANA,ila unapaswa kumsamehe ili uwe na amani.
Maisha ni safari ndefu na utakutana na mengi safarini,ukishindwa kumsamehe kila atakayekuumiza utayafanya maisha yako kuwa magumu sana.
Msamehe tu mamy.
ts true, si kumloga but maneno huumba na kama bado huja muachia rohon mwako atazid safa, just forgive her bwana.Huyu alikuwa mchumba wangu ambaye nilimpenda sana na tulikubaliana kuoana. Nilipatwa na matatizo njiani mwenzangu akanambia anaolewa na mtu mwingine (tulikuwa tunaishi mikoa tofauti). Niliumia sana na kutokana na hasira nikamwambia `Tutaona kama utaishi na huyo mwanaume.' Toka hapo sijawahi kuwasiliana naye tena!
Siku za karibuni alinitumia message kwamba anaomba kuongea na mimi, nikamtajia muda ambao ntakuwa free.
Muda huo akanipigia simu na kuanza kunilaumu `@nyalotsi kwanini umenifanyia hivi?'
Nikamuuliza, nimfenyaje?(huku nikiwa na mshangao)
`Umeniroga kila nikipata mimba inatoka, tafadhali sana nisamehe kama nilikukosea! Familia yangu itavurugika.'
Nilikata simu na kuanza kutafakari mambo mengi sana. Ina maana huyu dada kaniona mi mchawi? Mbona hata mizizi ya dawa za kawaida tu siifahamu? Hii laana gani tena? Baadaye nikakumbuka niliwahi kumtishia kwamba hataishi kwa amani na mumewe. Nikampigia simu na kumhakikishia kwamba siwezi kufanya kitu hiyo na wala sio muumini wa mambo hayo.
Nikamshauri pia waende na mumewe hospitali kufanyiwa uchunguzi wa kiafya na wataalamu.!
Kweli duniani kuna mambo!!
Thanks dear...I tried..
I prayed but it has been so hard...Yaani whenever I remember him I feel angrish. I wish I could even tell nusu ya aliyonitenda but I can't.
Anyway am moving on...maybe I will be able to forgive and forget one day[/QUOTE]
Hilo ndio la msingi,move on.
Thanks dear...I tried..
I prayed but it has been so hard...Yaani whenever I remember him I feel angrish. I wish I could even tell nusu ya aliyonitenda but I can't.
Anyway am moving on...maybe I will be able to forgive and forget one day[/QUOTE]
Hilo ndio la msingi,move on.
Thanks thanks...its life..