Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,596
- 6,595
- Thread starter
-
- #41
Mkuu si umeniuliza nimekwambia ukweli au nimekosea ila swala la kumrudia alipo kabisa kwenye akili yangu coz kaanza kunitafuta mwezi wa 6 mpaka sasa nampotezea tuBasi kwisha habari yako, Na yeye anajua hilo acha akupelekeshe.
Nilishaigusa sana before so unataka niiguse tena kwa awam ya pili😄Ila hakikisha umeichapa sana mkuu usimuache Kama haujaigusa
Huu Uzi umenugusa sana kaka unnitonesh vidonda 😥😥😥Black nyeti mbona una huzuni shida nini kiongozi
Kuna maex wengine wanaweza kurudiwa kiongozi ila sio huyuEx harudiwi, ila pole mkuu
Ni ulimbukeni tuSijui ni kasi ya teknolojia au....ila sasahivi unaweza chat na mtu baadaye ukakuta msg zako zimegeuzwa meme za insta
Hayo yalishapita mkuu sio sasaWanaume tuna shida sana, hapa unapambania penzi.
Nilishaigusa sana before so unataka niiguse tena kwa awam ya pili😄
Ex harudiwi rudia kusoma tena na tenaKuna maex wengine wanaweza kurudiwa kiongozi ila sio huyu
Pole mkuu ndiyo ukubwa huo kuumizwa kupo muhimu sana ni kumove onHuu Uzi umenugusa sana kaka unnitonesh vidonda 😥😥😥
Basi tuna mtazamo tofauti ila me ikitokea demu tuliachana kwa vitu vya kawaida na akataka turudiane huku najua yupo smart narudiana naye kiongozi 😂 😂 😂Ex harudiwi rudia kusoma tena na tena
Kwa kweli tupo tofauti ni kama kushoto na kulia Ex harudiwi hata iwajeBasi tuna mtazamo tofauti ila me ikitokea demu tuliachana kwa vitu vya kawaida na akataka turudiane huku najua yupo smart narudiana naye kiongozi 😂 😂 😂
Ni kweli ila chart haija kaa poa faragha muhimuMkuu ila na wewe huwa unaonyesha chakula kusindikiza maelezo unayotoa
Kuna vitu vya kuviludia ila sio hawaBasi tuna mtazamo tofauti ila me ikitokea demu tuliachana kwa vitu vya kawaida na akataka turudiane huku najua yupo smart narudiana naye kiongozi 😂 😂 😂
Kaka shida niniAf hii tabia ya kuonyesha chart sipendi basi. Tu
Wewe siwezi kukushawishi hata iweje kwenye hii point mkuu naona ushakaza fuvu 😂Kwa kweli tupo tofauti ni kama kushoto na kulia Ex harudiwi hata iwaje
Kwa kweli uniache tu siwezi kuelewaWewe siwezi kukushawishi hata iweje kwenye hii point mkuu naona ushakaza fuvu 😂
Mkuu fafanuamtu isipomfaa akili yake, basi utamdhuru ujinga wake..!!
ahsante..
Sawa mkuu ngoja nikanyage giaHafai huyo, akipata mwenye kibunda utakimbiwa tena, hapo unapaswa kutoka nduki speed ya Usain Bolt
Mkuu hii point yako bado sijaisahau ujueHupendwi!
Anaomba kama vile aliiweka.