screper km hana hela!!si umblock km unaijali ndoa yake! hv kwann huwa ma x mnaanzaga kuwasiliana ! ukweli mie huwa sielew! sasa kwann mliachana km mnapendana namna hyo nakila mtu kaoa!khaa! mie haitakaa itokee ex ni SCRAPER TU! hakuna namna!
Jamani hamjambo,
(napenda in mkulu voice).
Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa.
Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea sim zake??
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
Sawa,endelea kuchat na mke wa mtu ila jiandae kupakatwa muda sio mrefu
screper km hana hela!!
Hukupata ex bali mpitaji
ahaaa! kumbe mnarudiana kisa mapesaaaaaaaaaaa! haya sawa!
Mna chat nini sasa?
sasa km ana pesa kwann muachane!
Mna chat nini sasa?
mi sijaelewa
Hawagisanishi vikojoleo wao ni kupiga stori tusi wanakumbushia? hahahahah
Mapenzi ya kuibia ibia ni matamu sana
Goli linakuwa tamu alafu la motoooo
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app