X-Mass bila Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

X-Mass bila Umeme

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, Dec 25, 2011.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kuanzia jana saa 12 asubuhi hatuna umeme hadi saa hii.
  Tanesco ukipiga wanasema wanakuja kuanzia jana.

  Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wapi huko?
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli kimekuuma... hadi umeamua kufungulia thread. Pole sana Kongosho. nitakuja kukutembelea, mimi nina kisu kina tumia mkaa. lol
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mwanza
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  poleni sana!hapa mtaani kwetu wamekata maji yaani kero kweli!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  angalau nipunguze frastrations
  kweli nna hasira ya kuua nyati
  afu nauliza tanesco tatizo nini hataki kusema as if si haki yangu kujua
  namuuliza unategema itachukua muda gani kurekebisha tatizo hajui

  jamani hii kastama kea ya kitanzania inakera sana

   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ni bora kusheherekea ukiwa kijijini kabisa ambako wanatumia vibatari kuliko hii

  nazunguka zunguka tu ndani kama samaki katolewa kwenye maji

  hivi hamna mmbeba mabox anayeweza nikaribisha kwake leo.

   
 8. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  karibu kwetu dar kongosho ila ntumie no yako ya simu nkutumie pesa ya nauli kwa njia ya m pesa.x mas njema
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Huoooooooooo!
  Duh, umerudi baada ya masaa 30.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nakuona ulivyofurahi.
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,318
  Trophy Points: 280
  Wapi huko!
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red hapo ndo patamu
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  dah, nimefurahi kama mtoto wa kwa mtogole kupelekwa mliman city

   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ntaachaje furahi
  nilikuwa sijapasi ile skin jeans yangu afu mida ya mtoko hiyo
  feni la kukaushia kope nalo ningefanyaje

   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  Poleni sana mkuu, hivi Rais hasheherekei krismasi?
   
Loading...