X man anataka nimsimamie biashara zake

Huyo ametambua uwezo wako katika biashara na anakuamini ndio sababu ya kukupatia nafasi hiyo hivyo usimuangushe, ila kama uko busy na mambo yako mengine na mtarajiwa wako wa sasa basi mueleze vizuri kwamba hutoweza mfanyia kazi yake.
 
Tusubiri ushauri wa miss chagga kwanza![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nimepokea maneno yako
Ex ni penzi lililokwisha muda wake, bila shaka kuna mmoja alidhurumiwa pendo akcw kwenye mataa (dhurma imechukua nafasi yake)
Kibaya zaidi Ex mwenyewe ni mume wa mtu (bila shaka ana mdhulumu mkewe, na kwenda kufufua makovu ya nje ili damu iitese familia; mke na watoto wake )
Na zaidi ya yote muomba ushauri anadai ana mahusiano yanayokaribia ndoa (sasa jiulize kwa ufanyaji huo wa biashara je ataweza kutumikia nyuchi za wanaume wawili anazozifahamu kindaki ndaki?) Tusimdanganye, tusidanganyane
AFAHAMU KWAMBA
1.Kufanya biashara na ex ni kushiriki moja kwa moja kwenye kuivunja familia ya mwanamke mwenzie
2.kuivunja ndoa yake tarajiwa
3.hakuna urafiki wa pesa kati ya ex bf na ex gf (haupoo,maana wengi tuliachana kwa visasi na chuki za kutoana moyoni)
4.asifurahie wizi anaoufanay huyo ex wake kwa mkewe maana na yeye huyo mchumba wake ana ex wake na ipo siku atamtendea sawa sawa na ashirikivyo kumtendea mke wa mwenzie)
KAMA YEYE MWANAMKE NDIE ALIUMIZWA NA KUVUNJIKA KWA PENZI LILILOZAA NDOA YA MWANAMKE MWENZIE, BASI APIGE TU HIYO PESA IWE KAMA KIINUA MGONGO CHAKE, bila shaka alishiriki kumfulia,kumpikia na kumuhudumia huduma zingine nyingi sasa anasubiri nini kujilipa!!? Apige tu ili jamaa nae aumie [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…