Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Inamaana huyu mdada kapata bwana mwingine sio?Fursa inapo mtupa mzee wa fursa baada kuichezea fursa.Ama kweli mganga hajigangi
huna habari mkuu?Inamaana huyu mdada kapata bwana mwingine sio?
Nani kabeba?huna habari mkuu?
Jamaa fulani hivi wa kitaa alikuwa Dereva kwa mheshimiwa PM nasikia...search huo uzi upo celebrity forumNani kabeba?
Ni dereva sio mwanae tena?Jamaa fulani hivi wa kitaa alikuwa Dereva kwa mheshimiwa PM nasikia...search huo uzi upo celebrity forum
watu wanasema sio mwanae ni dereva tena wa mission town tuNi dereva sio mwanae tena?
Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!Ni dereva sio mwanae tena?