schneider
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 770
- 646
Hiyo hipo na kweli utokea lakini kwa kwetu Tanzania njaa usababisha wanawake wasikatishe mawasiliano na X wao hata kama yeye ndio kakukataa hilo naushahidi nalo na nimewahi kubadili # mara kadhaa, kwamba anaanzisha relationship na mwingine ukijua ukamshit anakomaa hili umsevu njaa yake.