X boyfriend wako au x girlfriend wako

X boyfriend wako au x girlfriend wako

Yaan n ukwel 100% hakuna urafik hapo hata kdogo mm x wang zaid ya salam tena tukionana kwa bahat mbaya simpg cm wala cmtumii msg na wala namba yake cna kabsaaaa na cmfuatilii kwa lolote lile maana wanaume c watu wa mchezo mchezo hawachelew kukuomba papuch[emoji85]
 
Hii mistar nimeikubali njoo studio kwangu urekodi buree hata kama itakuwa remix sawa tu
Hii mistari sio ya kwangu Kiongozi.

Hawa Watu wazima walitulia sana.

Huyo Afande Sele, ndani ya Mtazamo yuko na Profesa J, na Solo Thang a.k.a Ulamaa a.k.a Mwana wa zuoni.

Hawa Watu Wazima walitulia sana kwenye hiki kibao.

Hakuna "S" bila "O", "L" bila "O" mwingine, aitwae Thang bila SOLO...

Shupaaavu, awajibike kama POLO...

J, Afande, ni ukuta wapi Chochoro...

Umenipa mzuka, ngoja nitambae kidogo hapo chini mistari ya Solo Thang, ndani ya Mtazamo:-
 
Unakuwa mtumwa ili upewe Promo kuuza...

Au kama ni Binti ukalale kwa Prodyuza...

Mapromota wanauma tu, hawajui na kupuliza...

Na siku wakipuliza, jua kidonda kishaoza...

Natamani kuwa huru Mnyonyaji hasinidhuru...

Wanaitwa maEMCEE hawajui mitindo huru...

Huu Mtazamo wangu naona vingi vioja...

Yaani Watangazaji sasa, ndio Mameneja...

Vidato Sita nilivyopitia...

Ndivyo vinavyonisaidia...

Mbunifu ukizingatia...

Hata wakinibania...

Ni Kipaji tu...

Ni Mtazamo tu...

Msikasirike washikaji, haya Mawazo tu...
 
Shabiki piga simu

Changia mawazo yako

Ni nani tuta mlaumu

Kama rap ita seize
Kwa kuendekeza upuuzi
Nani tumchune ngozi...

Producer alierekodi?...

Ama labda DJ anaepiga kwenye kipindi...

Wengi wanapenda Rap japo Rap haiwapendi...

Waungwana wanaiacha upumbavu hauambiliki...

Hivi kwani lazima tuwe wote Wanamuziki...

Mie nadhani ingetosha wengine mbaki ushabiki...

Huu ni wangu Mtazamo Masela msijenge chuki...

"Data na Majani"


Ni Mtazamo, zamo EMCEE usiogope kivuli...

Bora ukemee mabaya na usifie mazuri...

Ni mtazamo, zamo EMCEE usikwepe umande ...

Okoa sanaa ya BONGO ili uchumi upande...
 
Hivi humu tushafika wanneee maana naona sasa kila wanne watatu ni vichaa. Recent update ya utafiti
 
Unakuwa mtumwa ili upewe Promo kuuza...

Au kama ni Binti ukalale kwa Prodyuza...

Mapromota wanauma tu, hawajui na kupuliza...

Na siku wakipuliza, jua kidonda kishaoza...

Natamani kuwa huru Mnyonyaji hasinidhuru...

Wanaitwa maEMCEE hawajui mitindo huru...

Huu Mtazamo wangu naona vingi vioja...

Yaani Watangazaji sasa, ndio Mameneja...

Vidato Sita nilivyopitia...

Ndivyo vinavyonisaidia...

Mbunifu ukizingatia...

Hata wakinibania...

Ni Kipaji tu...

Ni Mtazamo tu...

Msikasirike washikaji, haya Mawazo tu...
Mkuu nakuaminia hata kama mistar sio yako we njoo tu haina Shida me nitakufadhili unaonekana unakipaji sema hujijui tu
 
Sio kwel minawasiliAna na x Wang huu mwaka just a friend naamna kinachoendelea ata sim twapgian usiku BT bathing wrong uko
 
Hakuna urafiki kati ya x na x hata siku moja,tusijidanganye!,binafsi x wangu ni adui yangu na kamwe hataweza kuwa rafiki yangu.
 
Mkuu nakuaminia hata kama mistar sio yako we njoo tu haina Shida me nitakufadhili unaonekana unakipaji sema hujijui tu
a759a2a38986757e977cbd457bdcbed3.250x151x17.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom