www.coastviewresort.co.tz

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Salam wanataaluma wa ukurasa huu.

Natanguliza shukurani. Kama ilivyoada jf imekuwa kimbilio langu kila ninapopata tatizo. Nategemea kuwa nitapata msaada

www.coastviewresort.co.tz ni iliyokuwa link ya website ya ofisi yangu. Ila mwezi wa kwanza ikapotea ghafla na kila inapotafutwa haionekani. Kwakweli sifahamu imekwenda wapi. Ila nikiri kuwa aliyenitengenezea website hii sina mawasiliano nae tena.

website ni ya hotel/resort. Pamoja na kuhitaji kuwekewa vitu vipya na hata kuangalia booking na hata kuweka updates za room's availability, website hiyo haikuweza kufanya hayo. Niseme tu ilikuwa sio dynamic website. Sasa naomba mnisaidie majawabu na njia nzuri juu ya haya yafuatayo;

1. Je, naweza kutumia link ya namna hiyo tena?? "Maana business partners wote wanaifahamu hiyo"
2. Kilichopelekea kutoweka kwake ni kipi??
3. Je, naweza kupata website dynamic na yenye features nilizoainisha hapo juu na zaidi??

Ahsanteni sana wadau nataraji majibu yenu

For; Coast view resort. Email: coastviewresort@gmail.com
 
1. Either domain name haijaripiwa, kuna malipo hufanyika kila mwaka.
2. Jama hakulipwa vizuri so kaamua kuipiga chini mwenyewe.

N.B Kama unataka kutengenezewa mpya inawezekana. Contact 0716731205
 
mkuu talentbrain nimeangalia whois kwenye tznic it seems domain iko available au ime expire na hawakurenew.

mengineyo yanawezekana
 
Last edited by a moderator:
1. Either domain name haijaripiwa, kuna malipo hufanyika kila mwaka.
2. Jama hakulipwa vizuri so kaamua kuipiga chini mwenyewe.

N.B Kama unataka kutengenezewa mpya inawezekana. Contact 0716731205

Ahsante sana kwa mchango wako. Ila
1. Nadhani domain name haikulipiwa kama huwa inalipiwa yearly.
2. Si kweli kuwa jamaa hakulipwa vizuri. Maana alipomaliza kuitengeneza alilipwa chake na kuendelea na mambo yake.

Ni kweli nataka kutengeneza website mpya tena yenye features nzuri na nyingi zinazoendana na shughuli zangu. Ila bado nahitaji malezo mapana juu ya kipi kifanyike.



mkuu talentbrain nimeangalia whois kwenye tznic it seems domain iko available au ime expire na hawakurenew.

mengineyo yanawezekana

Nadhani umeona vema katika ulichokiona. Kuhusu hayo mengine, well nakusikiliza na ni vema ukaja pm ili tusikilizane.
 
Nimeenda wwhois.sc nimeambiwa:
Whois Record Not Available

This domain is not registered.

ni sawa. ilishaondolewa baada ya kutolipia. ila nimeshangaa sana hawa tznic policy zao.zikoje kuhusu expired domain names kwa nini wanaiondoa ndani.ya mwezi.mmoja? maana huko kwingine unapewa muda kuilipia baada ya muda wako wa awali kuisha ila hawaiondoi harak namna.hiyo


au aliyekuwa anaisimamia kaamua.kuifanyia cancellation
 

PM me for better Hotel Website
 
talentbrain,

1. Je, naweza kutumia link ya namna hiyo tena?? "Maana business partners wote wanaifahamu hiyo"
Kwa nilivyoangalia ni kwamba kwa sasa ni very possible.

2. Kilichopelekea kutoweka kwake ni kipi??
Kama walivyosema wadau, couple of possibilities lakini kubwa ni kuwa inawezekana domain ili expire na somehow haikuwa renewed. Sasa yawezekana hamkujua na jamaa hakuwaarifu. Ndio maana vyema next time ni bora kufikiria kuhusu something reliable.

3. Je, naweza kupata website dynamic na yenye features nilizoainisha hapo juu na zaidi??
Tunaweza kutengeneza aina ya web unayotaka ikiwa na application zote kama reservation, customer rating/opinions, Integrated blog, Even available menu at that time. Pia tunaweza tengeneza Android application kwa wale wanaopenda simu zao. Tutakushauri namna ya kutumia social networks, et al kuitangaza hotel yenu.

Kama unahitaji maelezo zaidi tutumie email support@hosannahighertech.co.tz na mtandao wetu ni Hosanna Higher Technologies

Hakuna haja ya kuhangaika na masahibu haya ukituruhusu tufanye kazi nawe! :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni kwa michango yenu. Nazidi kupata picha kamili. Ntawasiliana na kila mmoja wenu ili nipata Quotation best kati yenu.

Website ya awali haikuwa vizuri. Sikuweza fanya chochote kwenye web ile.
Ahsanteni tena.
 
Ahsanteni kwa michango yenu. Nazidi kupata picha kamili. Ntawasiliana na kila mmoja wenu ili nipata Quotation best kati yenu.

Website ya awali haikuwa vizuri. Sikuweza fanya chochote kwenye web ile.
Ahsanteni tena.

Habari,

Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya na ili kuzidi kuleta mafanikio zaidi kampuni yetu ya SMART CODES ingependa kukusaidia katika kutengeneza website nzuri inayoendana na hadhi ya hotel yako.

Kazi tulizofanya ni nyingi na ni pamoja na Bang Magazine, Suma JKT, Hotspot ,Giraffe Ocean View Hotel na nyingine unaweza kuziona kupitia link hii smartcodes.co.tz/our-works/. Ukifungua website ya Giraffe Ocean View Hotel utaweza kuona uzuri wa website ya hotel moja wapo tulizotengeneza na tupo tayari kukusikiliza unahitaji nini na pia kukushauri kipi kizuri na bora.

Gharama zetu ni nafuu na kuna punguzo kutokana na aina ya package utakayochukua, natumaini tutakaa meza moja kuzungumza namna ya kuanza kazi as soon as possible. Usisite kuwasiliana nasi hata kwa ushauri ni bure.

SMART CODES LTD
0789776668
e-mail

KIJITONYAMA,
COSTECH Building | 3rd Floor
​
 

Ahsante saaana naanza kufanyia kazi kila ushauri ntaoupata. Thanks again
 
If cheap is your metric on who to award the project then there's a lot of cheap designers out there (e.g the guy who did your first site and others here who just download templates from themeforest,so go for it) but if you are looking for quality and ability that only years of experience can bring then wasiliana na Watabe through hello@watabelabs.com, or just check the website Watabe Labs, Tanzanias Best Web Design Agency — Watabe Labs - Web Application Development for more information.

All the best deciding.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…