BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,022 Jul 18, 2011 #62 Eqlypz said: Hahahah nilisema ukimchekea Wambach lazima akuchape... Sidhani kama Japan watachomoka hapa sasa...!! Click to expand... Hahahahah Japan wamechomoa tena 2-2 naona hii mechi itaamuliwa kwa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
Eqlypz said: Hahahah nilisema ukimchekea Wambach lazima akuchape... Sidhani kama Japan watachomoka hapa sasa...!! Click to expand... Hahahahah Japan wamechomoa tena 2-2 naona hii mechi itaamuliwa kwa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
Makoye Matale JF-Expert Member May 2, 2011 6,491 2,104 Jul 18, 2011 #65 Red card kwa Japan yaokoa bao!
X-PASTER JF-Expert Member Feb 12, 2007 11,610 1,810 Jul 18, 2011 #66 USA 2 Japan 2 Mpira ume kwisha Na sasa ni maguu 12 ya mtu mzima.
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,251 113,652 Jul 18, 2011 #67 Kule kwa Wabrasil na Waparaguay zilitaka kupigwa
Makoye Matale JF-Expert Member May 2, 2011 6,491 2,104 Jul 18, 2011 #68 Dk. 120 all 2 sasa matuta kuamua. Japan wako pungufu, hata hivyo hawataarithika kwa matuta matano ya kwanza yataamua bingwa.
Dk. 120 all 2 sasa matuta kuamua. Japan wako pungufu, hata hivyo hawataarithika kwa matuta matano ya kwanza yataamua bingwa.
Polisi JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,082 640 Jul 18, 2011 #69 Nyani Ngabu said: Kule kwa Wabrasil na Waparaguay zilitaka kupigwa Click to expand... nini tena
BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,022 Jul 18, 2011 #70 X-PASTER said: USA 2 Japan 2 Mpira ume kwisha Na sasa ni maguu 12 ya mtu mzima. Click to expand... .....lazima umalizie Mkuu ya mtu mzima mwenye akili timamu maana ya taahira ni kama ya mtoto
X-PASTER said: USA 2 Japan 2 Mpira ume kwisha Na sasa ni maguu 12 ya mtu mzima. Click to expand... .....lazima umalizie Mkuu ya mtu mzima mwenye akili timamu maana ya taahira ni kama ya mtoto
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,251 113,652 Jul 18, 2011 #73 Yeeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssssssssssssssss
Polisi JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,082 640 Jul 18, 2011 #74 kipa wa japan noma, mfupi lakini tishio. usa wamekosa 2, moja kipa katoa nyingine imeota mbawa
Makoye Matale JF-Expert Member May 2, 2011 6,491 2,104 Jul 18, 2011 #75 USA kapiga out ya 2 Japan naye kakosa!
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,251 113,652 Jul 18, 2011 #77 Wamekosa tatu....game over....
Polisi JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,082 640 Jul 18, 2011 #78 mjapani kaokoa ya 3. usa bado hawana penalti
X-PASTER JF-Expert Member Feb 12, 2007 11,610 1,810 Jul 18, 2011 #80 USA Penalty 1 Japan Penalty 3 Japan Bingwa World CUP 2011