WWC Final: Japan vs USA

Hahahah nilisema ukimchekea Wambach lazima akuchape... Sidhani kama Japan watachomoka hapa sasa...!!


Hahahahah Japan wamechomoa tena 2-2 naona hii mechi itaamuliwa kwa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. :)
 
Dk. 120 all 2 sasa matuta kuamua. Japan wako pungufu, hata hivyo hawataarithika kwa matuta matano ya kwanza yataamua bingwa.
 
kipa wa japan noma, mfupi lakini tishio. usa wamekosa 2, moja kipa katoa nyingine imeota mbawa
 
USA Penalty 1 Japan Penalty 3

Japan-120-animated-flag-gifs.gif
Champions Football Gif.gif

Japan Bingwa World CUP 2011

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom