WW3: Russia’s Nuclear Weapons Fired, Putin Warns U.S. Of More Countermeasures

WW3: Russia’s Nuclear Weapons Fired, Putin Warns U.S. Of More Countermeasures

sio rahisi Russia kuyumbishwa kama unavyodhania, Military he has some technology and war materials more advanced than the West though America happens to be strong militarily but Russia is far more strong in some aspects than America or the west are...!!!
What aspects man?...just look at the military spending annually you will see why russia cant stand a war with US...leaving aside allies of NATO,research on....Submarines..Air crafts...Choppers..Missile shield...Military bases world wide...Economy...Support from close allies and their potentias....Technology...kiburi ni kwamba wana nuclear..haina maana kwamba US na allies hawana,la hasha,wanaangalia collateral damage in a big perspective,then wanaona hasara yake,kiuwezo,Russia kwa US ni mtoto mdoogo sana!
 
Hacha hizo wewe, america ni muhoga sana. kila anapopigana ana tafuta wapambe wamsaidie. Kuna vita gani kapigana peke yake? Iraq, NATO walimsaidia, Afghanistani, LIbya. Syria tu hao ISIS kila siku anawaomba NATO wachangie. Russia haibi vya mtu, wala kuingilia siasa za nchi nyingine lakini ni strong. Kwa siraha russia ndo ana siraha kali sana kuliko US. Uliza uambiwe.
 
JustDoItNow Bora useme wewe, mimi tangu mda nilikuwa nasema endapo US ataingia peke yake dhidi ya Russia, hiyo vita itakuwa Simple sana kwa Russia. Endapo wakiamua kumchangia basi naamini kabisa kuna nchi zitafutwa ktk uso wa dunia.
 
Hamna vita hapo, ni tambo tu. Wakipigana hapo kutakuwa hakuna aliyeshinda wala aliye shindwa. Sanasana impact yake inakuja kuonekana huku kwetu. Gharama za uendeshaji maisha zitapanda. Uchumi utayumba, uhaba wa $ na mambo kama hayo.
 
Hacha hizo wewe, america ni muhoga sana. kila anapopigana ana tafuta wapambe wamsaidie. Kuna vita gani kapigana peke yake? Iraq, NATO walimsaidia, Afghanistani, LIbya. Syria tu hao ISIS kila siku anawaomba NATO wachangie. Russia haibi vya mtu, wala kuingilia siasa za nchi nyingine lakini ni strong. Kwa siraha russia ndo ana siraha kali sana kuliko US. Uliza uambiwe.

Unaongea au unajifurahisha....?
 
JustDoItNow Bora useme wewe, mimi tangu mda nilikuwa nasema endapo US ataingia peke yake dhidi ya Russia, hiyo vita itakuwa Simple sana kwa Russia. Endapo wakiamua kumchangia basi naamini kabisa kuna nchi zitafutwa ktk uso wa dunia.

Hahahahaha! Unachekesha asee, eti vita itakuwa simple sana kwa russia hahahaha wat a joke!
 
Vita ikitokea itakuwa ni nato vs russia, nato watapiga russia, je russia watapiga wapi? Uturuki, germany, uk, france, canada us, bwana mdogo israel, australia ama bwana mdogo japan,nk, yaana unapiga uk huku nyuma israel anakulamba, unapiga france huku germany na japan wanakutia vitasa, na hizo nchi karibia zote zinazidi russia kiuchumi, acheni ubishi russia lazima akae
Umesahau second strike force a.k.a nuclear submarine?.zenyewe peke yake zina makombora ya nuclear ya kutosha kuteketeza kila kitu hata kama russia imeshatekwa tayari.
bila kusahau mfumo wa perimeter(perimeter system),ama wanaita a DEAD MAN HAND.
Ni mfumo ambao uko automatic kujifyatua na kuruhusu makombora ya nuclear yaliyopo kwenye silo kujifyatua yenyewe hata kama kila mtu russia amekufa na kuilenga marekani.mfumo huo ulijengwa kwa hali ya kwamba unakua updated kila siku ili usifyatue sasa kama hamna mtu wa ku update unaachia makombora automatically.
 
ha ha ha ha ha ndo maana US anakuwa muogamuoga kwa Russia, harafu huyu jamaa anakwambia US ana siraha za hatari kuliko Russia. NATO wanaweza wakampiga Russia ila watambue kuwa kuna nchi lazima zifutike ktk uso wa dunia.
 
Hata enzi zile dunia haikujua kama kuna LITTLE BOY and FAT MAN ndo maana japan pamoja kuambiwa habari ya iyo kitu hakuamini akatia jeuri wazee wa kazi wakaamua watumie LITTLE BOY lakin japan bado alidinda, hapo ndipo walume ndago wakasema 'kumbee unakiburi sugu' wakadondosha FAT MAN, wee uliza kilichotokea! Japan alinyoosha mikono juu na kusurrender kabisa. Japan na dunia ilishangaa make haikutarajiwa kama kuna kitu kama kile hapa duniani. Hapo ndo ujue huwezi kujua yupi ana nini ama ana siraha gani make nikuona unasifia upande mmoja wana hiki, je wale wengine unajua wana nini?
Hizo sijui fatman hivi sasa ni outdated weapons,in case kama nuclear confrotation inatokea zitatumika zaidi strategic nuclear weapons na si tactical nuclear weapons.
strategic nuclear ndo hizi Intercontinental balistic missile(ICBM) ambazo ziko landbased zikifyatuliwa toka katika mahandaki yake ama silo ama mobile unit.
pia zipo za kwenye submarine,zikiitwa submarine launched missile.
Sasa hizo zote kombora moja linakuwa na multiple independent reentry warhead,kwamaana ya vichwa 10.
submarine moja class typhoon ya russia ina makombora 20.
20*10=200.
hiyo maana yake ni kuwa sub moja inaweza kudeliver mabomu 200 ya nuclear ambayo kila moja lina uwezo mara zaidi ya mia kuliko bomu la atomic.
na hii ndo maana vita vya nuclear kati ya marekani na russia havijatokea ni mutual destruction.
 
Vita ikitokea itakuwa ni nato vs russia, nato watapiga russia, je russia watapiga wapi? Uturuki, germany, uk, france, canada us, bwana mdogo israel, australia ama bwana mdogo japan,nk, yaana unapiga uk huku nyuma israel anakulamba, unapiga france huku germany na japan wanakutia vitasa, na hizo nchi karibia zote zinazidi russia kiuchumi, acheni ubishi russia lazima akae

ww ndio unaona hvyo lakn wenzako unaowasifia wameona Urusi sio mchezo ndio maana hawathubutu kumgusa. Wanaishia kupiga mikwara tu.
Ilikuwepo Afghanstan, Iraq marekan na washirika wake hawakuchukua mda kuzishambulia kwasababu walijua ni wadhaifu lakn hapa ka Mzee mzima Putin wanabwabwaja tu, hakuna hata anayethubutu kupiga
 
Kitu ambacho Russia na China wanazizidi nchi za west ni hakuna demokrasia kwao...hivyo hakuna kuremba...

Wakati hao west wanajadili na kuomba ruhusa ya Bunge yeye keshawamaliza...

Na hilo ndilo linazifanya hizi nchi ziwe na expenditure kubwa ya kijeshi kwani wananchi hawana sauti ya kukoromea serikali...

Patrick Elias
Umenichekesha sana, et Nato watapiga Russia, je Russia watapiga wapi? Jibu ni rahisi sana, watapiga Jumuiya ya NATO. Hivi wewe unafikiri Russia atapigwa kirahisi rahisi tuu!? Mimi nakwambia yule Bwana ana uwezo wa kudondosha kombora zake kadhaa na akafuta hata nchi 4 kwa mkwapuo. Achana na Russia bhana.
 
kushinda vita inategemea mambo mengi sana..lakin sabab kubwa mbili ni 1:modern weapons,2:strong economy..
Russia ni mzur kwa namba 1..Ila tatizo linakuja pale vita ikiwa ni longterm hataweza kusurviv coz uchumi wake sio imara kiasi cha kifinance vita miaka ata 5 kwa nguv ile ile,lazima itafka mahali atashindwa kusurvive..Kwa US yeye ana uwezo kote no 1&2, coz anawez kupigan vita miaka ata kumi bado akaendelea kusurvev..Mfano ni vita vya Afghan na iraq kwa pamoja miaka zaid ya 10 lakin bad yupo fiti..Asume ingekua ni russia sasa ivi angekua kashachakaa sana..

Mkuu vipi huko marekani anapopigana miaka kumi ameshinda vita?
 
Kitu ambacho Russia na China wanazizidi nchi za west ni hakuna demokrasia kwao...hivyo hakuna kuremba...

Wakati hao west wanajadili na kuomba ruhusa ya Bunge yeye keshawamaliza...

Na hilo ndilo linazifanya hizi nchi ziwe na expenditure kubwa ya kijeshi kwani wananchi hawana sauti ya kukoromea serikali...

Hawa Russia mimi wananikoshaga sana kwa kweli.
 
Hii ndio Satan S-18 ambayo Kila taifa inaiogopa hii Siraha, ndani inaweza ikabeba 10 Nuclear Warheads, Ukiingia Youtube utajionea vizuri. SATAN S-18 kutoka RUSSIA.
 
Attachments

  • 1414092161584.jpg
    1414092161584.jpg
    28.1 KB · Views: 169
Topol M, Mrusi huyu.
 
Attachments

  • 1414092460252.jpg
    1414092460252.jpg
    87.2 KB · Views: 161
Topol M ikienda mazoezini.
 
Attachments

  • 1414092599523.jpg
    1414092599523.jpg
    44.3 KB · Views: 151
Mashine ikiwa imepumzika.
 
Attachments

  • 1414092699886.jpg
    1414092699886.jpg
    47.6 KB · Views: 152
S-300, hii kazi yake ni kushusha ndege ya aina yoyote ile irukayo juu ya anga la Russia.
 
Attachments

  • 1414093194569.jpg
    1414093194569.jpg
    10.1 KB · Views: 165
Back
Top Bottom