WW3: Russia’s Nuclear Weapons Fired, Putin Warns U.S. Of More Countermeasures

WW3: Russia’s Nuclear Weapons Fired, Putin Warns U.S. Of More Countermeasures

Kwa mara nyingine tena, hiyo hapo Satan S-18 ikiwa imepumzika tuu.
 
Attachments

  • 1414093269465.jpg
    1414093269465.jpg
    113.8 KB · Views: 237
You know all problems starting in this world is because of zions. They always causative. Even kieve issues, the jewish business men have influence through EU dress.
Have you also been swayed by "Protocols of Elders of Zion"?
 
Mmepata kusikia scalar weapons,Russia ni habar nyingine,hakuna cha nuclear wala H bomb -iskander,S 400, bulava Topol M na 5th generation fighter jets nakadharika warusi wana tuzuga tu-ndo maana Ukiwa na pesa hizo machine unapata bila shida
 
Hacha hizo wewe, america ni muhoga sana. kila anapopigana ana tafuta wapambe wamsaidie. Kuna vita gani kapigana peke yake? Iraq, NATO walimsaidia, Afghanistani, LIbya. Syria tu hao ISIS kila siku anawaomba NATO wachangie. Russia haibi vya mtu, wala kuingilia siasa za nchi nyingine lakini ni strong. Kwa siraha russia ndo ana siraha kali sana kuliko US. Uliza uambiwe.
Ubishi mwingine bwana!...kwa silaha Russia ndio ana silaha kali!.......Submarines walizonazo ni old technology ya USSR,ndio wanazikuza sasa,alafu,hakuna nchi inapenda kuingia vitani yenyewe bila wapambe,kwani after Nato pact Russia si walikuja na Warsaw pact!...ikafa,....embu tembelea mitandao ujifunze kuhusu what makes a country a military super power kabla haujaja kubishana kitoto hapa,nimekupa data na areas ambazo US ni the best,weka areas ambazo Russia ni the best then tu prove kupitia sources tofauti za information,NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
 
Mkuu mbona unataka kurusha ngumi? Nishakwambia kila america anapovamia anatafuta wapambe. Nikakutolea mfano, Iraq, Syria, Afghanistan, Libya. Sa unataka data zipi tena? au mi naongea kijapani na wewe unaongea ki vietinam?
 
blah blah.....wasting my precious energy!
 
Ongeeeni kuhusu Tanzania and not outsiders acheni ulimbukeni wa kijinga!!
 
Ongeeeni kuhusu Tanzania and not outsiders acheni ulimbukeni wa kijinga!!

Una umri gani Mkuu, hili ni Jukwaa la Kimataifa na hoja inahusu Urusi. Mbona unajifanya kama una akili finyu wakati wewe ni mzima Mkuu.
 
blah blah.....wasting my precious energy!

Nadhani wewe hukumuelewa, katoa Evidence kwamba US kila aingiapo anaingia na wapambe wake na ndio haohao siku zote. Mfano wa wapambe ni kama England, France, Italy n.k.
 
Back
Top Bottom