We si kila mara unajidai ni mfuasi wa yesu alikufa kwa ajili yako.
Sasa leo unaomba itokee Nyuklia War ili watu wasio na hatia WAFE OVYO SIO?
Nyie wagakatia MAADUI WABAYA SANA aisee! Bila damu kumwagika hamna raha kabisa.! !

i can't wait to see nuke war....
Dini yenu ndio imekufundisha kuwa Ukifa huna hatia? pole sana... kufa kumeumbwa haijalishi kifo cha aina gani...! Mwamedi si ndio kaua sana watu Dunia historia inajieleza na ameweka Mizizi watu waendelee kuuawa hadi leo hii
mkuu hujaacha udini tu.badilika bhana.
America alipigana afghnan na kikundi cha Taliban sio nchi ya Taliban(konzi kwa singi) sidhani kama athari zake zitakuwa sawa siku watakapopigana konzi kwa konzi na urusi!kushinda vita inategemea mambo mengi sana..lakin sabab kubwa mbili ni 1:modern weapons,2:strong economy..
Russia ni mzur kwa namba 1..Ila tatizo linakuja pale vita ikiwa ni longterm hataweza kusurviv coz uchumi wake sio imara kiasi cha kifinance vita miaka ata 5 kwa nguv ile ile,lazima itafka mahali atashindwa kusurvive..Kwa US yeye ana uwezo kote no 1&2, coz anawez kupigan vita miaka ata kumi bado akaendelea kusurvev..Mfano ni vita vya Afghan na iraq kwa pamoja miaka zaid ya 10 lakin bad yupo fiti..Asume ingekua ni russia sasa ivi angekua kashachakaa sana..
kushinda vita inategemea mambo mengi sana..lakin sabab kubwa mbili ni 1:modern weapons,2:strong economy..
Russia ni mzur kwa namba 1..Ila tatizo linakuja pale vita ikiwa ni longterm hataweza kusurviv coz uchumi wake sio imara kiasi cha kifinance vita miaka ata 5 kwa nguv ile ile,lazima itafka mahali atashindwa kusurvive..Kwa US yeye ana uwezo kote no 1&2, coz anawez kupigan vita miaka ata kumi bado akaendelea kusurvev..Mfano ni vita vya Afghan na iraq kwa pamoja miaka zaid ya 10 lakin bad yupo fiti..Asume ingekua ni russia sasa ivi angekua kashachakaa sana..
there will never be world war three over Ukraine not now,not ever my friend
WW3 will be triggered by the "Jewish problem " as antisemitic guys put it. Jerusalem not Kiev. And certainly not even this year
Patrick Elias
Umenichekesha sana, et Nato watapiga Russia, je Russia watapiga wapi? Jibu ni rahisi sana, watapiga Jumuiya ya NATO. Hivi wewe unafikiri Russia atapigwa kirahisi rahisi tuu!? Mimi nakwambia yule Bwana ana uwezo wa kudondosha kombora zake kadhaa na akafuta hata nchi 4 kwa mkwapuo. Achana na Russia bhana.
Patrick Elias
Hiyo haijawahi kufanywa kwasababu hizo silaha hazikuwepo kipindi cha nyuma. Nawdays kuna Advanced Satan S-18, Bulava, Topol M n.k
Wengi mliochangia humu mnaonekana hata hamjui madhara ya vita ya nukes kwa pande zote mbili kati ya Urusi na NATO. kuna kitu kinaitwa mutual assured destruction (MAD) au self assured distruction(SAD). vita yoyote itakayoyahusu mataifa hayo ujue usalama wa uhai wa mwanadamu umefika ukingoni kama sio mwisho kabisa wa uhai wa binadam. atakae anza kumshambulia mwingine anakua pia kajiangamiza mwenyewe,yaani you attack first you die second.
Sasa ukishalijua hilo haina haja ya kushabikia nuke war kati ya NATO na Urusi maana ni vita isiyo na mshindi. Mabomu ya nuklia ya sasa yako na madhara zaidi ya mara 1000 ya yale yalipigwa Japan zaidi ya nusu karne iliyopita.
Msiombee kabisa wakuu.