masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,570
- 20,146
hahaha anaeza akakupa sababu"nlitaka anisindikize kunywa" ili ukilewa ashike nguo zisianguke au?
meseji imekuja "himidini twende nikakupe mambo"Sababu za kitoto hulifanya jambo kubwa lionekane dogo na la kawaida. Usisahau ktk ndoa utoto utoto kwa wanandoa huhitajika wakati mwingine ili mambo yaende.
ila majibu yakuwaga mepesi sanaChochote ukikutwa nacho kisipo stahiki kuwepo lazima ushikwe na uzoba.
hahaha kama nakuonanakumbuka siku ilifumwa sms kwenye simu yangu sababu nilizotoa zilikuwa sio kabisa mapaka nikiwa alone nikawa nacheka tu
ila majibu yakuwaga mepesi sana
hahahaha ilikuwa noma sana.hahaha kama nakuona
10% women 90% menDoes this apply to both men and women or just men?
unasema sio yangu wamenibadilishia kaziniUnaweza hata ukajikuta unaikana simu yako mwenyewe.
10% women 90% men
meseji imekuja "himidini twende nikakupe mambo"
nakuuliza jibu la kwanza unasema kakosea wakati msg ina jina lako
jibu la pili nikikubana utasema mambo ni kitabu
Ha ha ha!
atakuwa amekosea kuandika, ni wimbo
unasema sio yangu wamenibadilishia kazini