Wrong no ananichanganya

Wrong no ananichanganya

kipofu kaona mwezi

wakati wengine tunaona nuksi na kuwa wakali kwa simu za wrong number, wengine wanaona ngekewa.

Dunia haiishi vioja
mkuu umeelewa nilivyotumia neno ngekewa kwenye iyo thread?soma upya.
 
Mnapata wapi muda wa kutunga hizi story?
 
Ushauri? usipokee simu wala kujibu vimeseji.she will get ze point. usijiumize kichwa.tapeli huyo angalia sana>

Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.
 
Mbona hao wapo wengi kaka?! hata mimi kuna binti anakaa Airport anaitwa Jen ananisumbua kinoma!! na simjui wala nini!!
 
kashaanza kumzimia ndo maana anasita kutuwekea namba hapa

Nami nahisi hivyo au anaogopa siye ni Wakware tutamzidi kete wakati yupo kwenye process za kujimilikisha...
 
Mwingine anakaa Iringa Dabaga, anaitwa Flora, simjui wala sijawahi kumwona, full kunipigia na ma-sms anadai anani love?!
 
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.

Ndio maana Risk Taker wa JF wakakuambia wape number wao wa-risk!inaonekana wewe ni muoga n u don't want to dare...wape vijana wakufunulie kitu mkuu..au na wewe unaona wivu sasa?
 
ahahahahah..mkuu mtoto anabembeleza hatareee,siwezi kutoa namba yasijewakuta mabaya nami nikaingia kwenye mtego.Nipeni mbinu za kujinasua.

Usipokee simu yake wala kujibu SMS zake...hence there wont be a vocabulary "kubembelezwa" hanging kwa brain yako
 
Sidhani kama kweli ungekuwa humtaki kama angeendelea kukusumbua!
 
Duh,jamaa hataki msaada analengo la kujulisha na kutulingishia kwamba kapata demu kwa staili ya wrong number.kama anahitahiji msaada weka number zako hapo tukusaidie kukuondolea hilo tatizo
 
Mkuu twende kazi,

Here are scenarios;

1. Mtu huyo anakujua, na anafanya makusudi(lengo anajua yeye)

2. Hana kazi(idle) na kama anakazi muda wake wa kupumzika ndio 'anakupumzikia'.

3. Amefanya hivyo kwa sababu ulimuahidi/ulim-entertain yaani hadi kujuana mikoa sijui na mambo kama hayo.

Kwani, ulipojaribu kutomjibu ilikuwaje mkuu, kama bado jaribu hii..kulingana na maelezo yako, inaonekana unatumia simu nzuri probably 'smartphone', kama ndivyo kuna apps nyingi za kuweza kum-block huyo mtu.

Endapo utaendelea kum-entertain pengine itakuwa shida si yeye, ...and worse case scenario utaibiwa mjini hapa. Wala usijipe moyo kuwa watu wana-register namba, kuna fake IDs nyingi sana.

So, unless you are idle and you enjoy the game(having fun), don't play along, mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana Risk Taker wa JF wakakuambia wape number wao wa-risk!inaonekana wewe ni muoga n u don't want to dare...wape vijana wakufunulie kitu mkuu..au na wewe unaona wivu sasa?
hahahaha!mkuu sioni wivu bhana hofu yangu in case nimeitoa iyo namba mtu akafanyiwa kitu mbaya huoni kuwa naweza kuhusishwa kuwa sehemu ya watuhumiwa?kinga ni bora kuliko tiba
 
Mkuu twende kazi,

Here are scenarios;

1. Mtu huyo anakujua, na anafanya makusudi(lengo anajua yeye)

2. Hana kazi(idle) na kama anakazi muda wake wa kupumzika ndio 'anakupumzikia'.

3. Amefanya hivyo kwa sababu ulimuahidi/ulim-entertain yaani hadi kujuana mikoa sijui na mambo kama hayo.

Kwani, ulipojaribu kutomjibu ilikuwaje mkuu, kama bado jaribu hii..kulingana na maelezo yako, inaonekana unatumia simu nzuri probably 'smartphone', kama ndivyo kuna apps nyingi za kuweza kum-block huyo mtu.

Endapo utaendelea kum-entertain pengine itakuwa shida si yeye, ...and worse case scenario utaibiwa mjini hapa. Wala usijipe moyo kuwa watu wana-register namba, kuna fake IDs nyingi sana.

So, unless you are idle and you enjoy the game(having fun), don't play along, mkuu.
mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri.Nilipojaribu kutomjibu alinitumia msgs za kulalamika mfulululizo na kupiga simu kama kichaa.Nilimblock by adress msgs zikawa zinaingia kwenye spambox,.Naangalia vizuri kama nitaweza kumblock complete.
 
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.
Huyo jini Maimuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom