Wrong no ananichanganya

Wrong no ananichanganya

Yaani hakujui/Hamjuani alafu ndani ya siku tatu mmeshapanga hadi aje mkoa wako, ndani ya siku tatu hadi analia machozi kwa wivu? Anakusumbua hadi unazima simu? Na unadai umeshamkataza? Hivi vyote ni ndani ya siku tatu tu?

Aaaah Baba Twende kazi hapo umezidi aisee, turudishie chenji aisee

Wazo lako kwangu lipo approved 100%
Jamaa anataka kuona wazo lake lina comment nyingi na sio vingine 😀
 
Ao wapo kaka ni wale mademu mageek a.k.a wasongo,maantisocial,sura mbaya kupita na madesperate......usiangaike kutaka kukutana nae
 
Ao wapo kaka ni wale mademu mageek a.k.a wasongo,maantisocial,sura mbaya kupita na madesperate......usiangaike kutaka kukutana nae
ahahahah..yeye ana jisifu ni mzuri mbaya nikamwambia tuma picha anazingua.huu mkosi wa kufungulia mwaka.
 
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.
Mimi na sauti kama ya Radi imepita juu yako (Angry thundering storm passes over )

Narudi kwenye thread; People don't just fall in love with looks, there are other factors contributing to love...unaweza kupendwa/kupenda sababu ya sauti tu, au namna unavyo ongea....hasa wanawake mara nyingi sana, wanapenda sauti kama za radi, anajua sauiti ya radi ikiwa karibu na masikio yake, mvua itateremka ile ya kulete mafuriko ya maji :biggrin1:
 
ahahahah..!wewe fazaa wewe kama ni binti nina wasi wasi na wewe..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom