Wowowo...

Wowowo...

Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.

Ila wanaume mnapenda kuangalia lol eti fahari ya macho duuh.

Wala hata usiumie...wenye wowowo huwa tunawataman kuwatafuna tuu.

Kwenye kuoa huwa tunaangalia polite devotion yake.
 
Mkuu nikishindana na nyie wanaume nitajikuta mwisho wa siku nakuwa chizi sababu hamueleweki nini mnapenda.

Huyo huyo mwenye wo wowo anaweza pita sehemu wala watu wasishituke. Hahahahaaa.
Kwasasa tunapenda wo wowo keshokutwa tutaanza kupenda wabeba vyuma.
 
Lisiwe kubwa mno, liwe la wastani, la duara, limeumbika, laenda na mwili, hapo utatupata sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom