go for ZANTEL man they charge 120 Tshs per 1MB
50 per 1MB brother,
Inabidi jamii yetu igundue hii kitu maana tukinyamanza ndugu zetu wanaumizwa gharama hizo ni kubwa sana, Ukizingatia watu wengi hawajui na Zantel wamelala wanapitwa hata na sasatel wakati sasatel haifui daff kwa Zantel.
Bravo Zantel
TTCL mobile internet tariffs
You get charged based on data consumption (uploads and downloads). One Megabyte is used as unit although charging is actually done in Kilobytes (smaller unit).
Charging is by Flow (MB) and the Price is Tshs 160.00 per MB for both basic mobile data and mobile Broadband.
NOTE:
One megabyte can surf up to 20 web-pages; send/receive up to one hundred e-mails; Up to one hour of web-chatting. hii ni kweli !!!!!????
2 GB budle is 100,000
Mkuu MTM, si bora ukachukua hata Zantel 3GB kwa Tshs 86,000/= kuliko hiyo 2GB kwa 100,000/=? Anyway, isijekuwa nawaharibia watu biashara. Kupanga ni kuchagua! Zantel 10GB ni 270,000/= (Post paid) na hapo maanake unakuwa unalipia 27/= per MB.mzee,
vipi performance yao? maana akina kimanzichana, kibwegere, charambe, mwongozo, fukayose nk. au kule amani kisiwani?
Mkuu MTM, si bora ukachukua hata Zantel 3GB kwa Tshs 86,000/= kuliko hiyo 2GB kwa 100,000/=? Anyway, isijekuwa nawaharibia watu biashara. Kupanga ni kuchagua! Zantel 10GB ni 270,000/= (Post paid) na hapo maanake unakuwa unalipia 27/= per MB.
Think of it bro!
Mkuu MTM, si bora ukachukua hata Zantel 3GB kwa Tshs 86,000/= kuliko hiyo 2GB kwa 100,000/=? Anyway, isijekuwa nawaharibia watu biashara. Kupanga ni kuchagua! Zantel 10GB ni 270,000/= (Post paid) na hapo maanake unakuwa unalipia 27/= per MB.
Think of it bro!
Kweli Zantel ni supper ila watu wengi hawafahamu hilo, inabidi tuwajulishe jamaa na marafiki
Bravo ttcl
New BroadBand Package Tarriffs effective from 1st October 2009
Package Size
Price per month (Tshs)(VAT inclusive)
Time
Broadband -1GB
30,000
Per Month
Broadband 2GB
60,000
Per Month
Broadband 4GB
100,000
Per Month
Broadband 10GB
200,000
Per Month
Broadband 20GB
360,000
Per Month
Broadband 40GB
450,000
Per Month
Broadband 100GB
1,000,000
Per Month
Hivyo alichosema kuhusu 1mb kwa Tshs.160 ni sawa lakini hii ni kwa Mobile internet na sio broadband. Wheather is cheap or expensive you can see the real tariff above.
Nawasilisha mkereketwa wa kampuni za kizalendo.
Ni kweli kabisa mkuu... nataka sana kuchukua Zantel, tatizo linakuja kwenye coverage... kule kimanzichana, kibwegere, amani beach, kisota nk. ntapata reception?? Nilijaribu kuuliza wale jamaa wakasema ngoja wacheki lakini naona kimya
ila nimeumia sana mkuu na Voda, namshukuru sana ThinkPad maana huwa anatukumbusha sana kuhusu haya mambo
Hiyo ndiyo maana yake mkuu, lakini binafsi sioni sababu ya wewe kuchukua 100GB wakati matumizi yako hayakufikishi huko. Hili ni suala la bajeti kwamba nitatumia kiasi gani kutokana na uzoefu wa mahitaji, ndio maana kuna package tofauti kwa watumiaji tofauti. Huwezi kwa mfano kuchukua 1GB kwa matumizi ya nyumbani badala yake utachukua 1GB ambayo ni 30,000 na kama matumizi yako ni ya chini ya hapo kuna huduma ambayo utatumia badala yake. Nadhani nitakuwa nimekujibu.Kuna kitu mie sielewi, naomba kuelimishwa maana ya 'per month'. Ina maana nikinunua, mfano, 100GB kwa hiyo 1m, mpaka mwisho wa mwezi nikawa nimetumia 60GB, zilizobaki 40GB zinafutwa?!
Taarifa ni kitu cha msingi sana binadamu kuwa nacho kwa wakati. Mtoa mada amesaidia sana kutuweka macho kuhusu huduma za Data ila hakuwa fair au kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Alipaswa kusema kwamba huduma alizosema kuhusu TTCL ni za mobile internet pekee na sio huduma za internet kwa ujumla wake. Mimi ni mteja wa TTCL broadband, huduma hii inapatikana mahali ambapo TTCL landline zinafika (Mijini) na tariff zake ni hizi:
New BroadBand Package Tarriffs effective from 1st October 2009
Package Size
Price per month (Tshs)(VAT inclusive)
Time
Broadband -1GB
30,000
Per Month
Broadband 2GB
60,000
Per Month
Broadband 4GB
100,000
Per Month
Broadband 10GB
200,000
Per Month
Broadband 20GB
360,000
Per Month
Broadband 40GB
450,000
Per Month
Broadband 100GB
1,000,000
Per Month
Hivyo alichosema kuhusu 1mb kwa Tshs.160 ni sawa lakini hii ni kwa Mobile internet na sio broadband. Wheather is cheap or expensive you can see the real tariff above.
Nawasilisha mkereketwa wa kampuni za kizalendo.