Would you keep your ex-lover’s photos?

Would you keep your ex-lover’s photos?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Would you keep your ex-lover's photos?

In most relationships, there is an ex-partner. However, if one is content with his or her current partner, why would they keep photographs of their former love-interest?

Tuambie Would you keep your ex-lover's photos?
 
Kama bado nampenda No siweki maana zitanisumbua! Ila kama sina feelings nae tena hata nikiziweka hazitanisumbua zitakuwa kama za marafiki wa kawaida tu!
 
Picha please!

1185009_512524858828231_501183317_n.jpg
 
kistaarabu si vyema kuendelea kuzitunza....mi enzi zangu nilikuwa nawarudishia kiroho safii na yeye ananipa zangu tunaachana kwa amani.
 
kuna mawili urafiki wenu ulikuwa na mda gani....

pia ulimpenda kutoka rohoni...real love the way she/he is

mmeachana kwenye mazingira gani tatizo nini??

kama unaona kiziweka kero mrudishie na yeye akupe zako
 
Would you keep your ex-lover's photos?

In most relationships, there is an ex-partner. However, if one is content with his or her current partner, why would they keep photographs of their former love-interest?

Tuambie Would you keep your ex-lover's photos?
It depends!
 
kistaarabu si vyema kuendelea kuzitunza....mi enzi zangu nilikuwa nawarudishia kiroho safii na yeye ananipa zangu tunaachana kwa amani.
Wewe mstaarabu sana mkuu wengine kwa hasira lazima wazichane chane
 
Kuzirudisha wengine hatuwezi na tumeanzisha mahusiano mapya hivyo lazima tuziondoe ili isije kuwa kesi.
 
kuna mawili urafiki wenu ulikuwa na mda gani....

pia ulimpenda kutoka rohoni...real love the way she/he is

mmeachana kwenye mazingira gani tatizo nini??

kama unaona kiziweka kero mrudishie na yeye akupe zako

Iwe mmeachana kwa sababu yoyote ile si haki kuwa na picha za x wako,Jifikirie mwenzio ameziona unadhani tafsiri yake ni nini?

Kwa kweli mimi tukimalizana nachoma moto kumbukumbu zote ila namba ya simu ???nitaisave hata jina la kiume for sometime!!
 
Back
Top Bottom