Would you keep your ex-lover’s photos?

Would you keep your ex-lover’s photos?

Hahaha! Mkuu naunga hoja mkono! Utaweka za wangapi??? Halafu ndio chanzo cha mtafaruku na mpenzi wako!

..na wewe umelitambua hilo mkuu??...
watu wameshasahau wapenzi wao wa mwanzo kwa chain walizotengeneza, Leo uwaambie ati waweke kumbukumbu ya picha?? Wanataka albums ngapi!!!
 
You can kip them if they dont hav any effect on ur current life.
 
kiukweli laziiima mtu anaweka atlst one pic..it happens naturally
 
kistaarabu si vyema kuendelea kuzitunza....mi enzi zangu nilikuwa nawarudishia kiroho safii na yeye ananipa zangu tunaachana kwa amani.

Akishaitwa ex- lover ... picha zake huwa naziwasha moto kwa tutumia kiberiti.... Over!!!!

Vijizawadi zawadi naviweka katika fungu la kuwasaidia wanaohitaji msaada. Huwa napata relief mapema kwa maana ya kuondoa vitu vitakavyonipa memories .... Then na-move on....! Life is beautiful and has so much to offer....:cheer2:
 
kiukweli laziiima mtu anaweka atlst one pic..it happens naturally


Not really.....! Niiweke picha yake ya nini? For what reasons? Naona ni kujaziana mende kabatini dear!!!!
 
ninazo mwaka wa tano huu. hata sijui nizichome moto, nimrudishie au niendelee kuzitunza!!!
 
Mi nina picha,barua,c*hupI,t*aiti na kanga iliyoandikwa" Nipe hamu,Nipe utamu mpaka anywe sumu atakaporudi"ni miaka saba(7)sasa imepita bada tu nimezitunza
 
1185009_512524858828231_501183317_n.jpg

Huyu hata kama ni njia kuu ya mwenzako kwako ukifanya mchepuko si kosa kiafya!
 
Back
Top Bottom