Wote wameogopa kuongea na Rais kwa Lugha ya mtaani. Mimi, Rais nivumilie...

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,342
9,824
Magufuli tumechoka kufanywa mafala!

Nimesoma na Makonda, najua hajui kitu.

Mkuu, Makonda amewahi kutupa suluhu za ajabu kwenye uongozi wa chuo; hatukuzukubali, USIZIKUBALI!

Mkuu, Makonda hana cha msingi, kama amewahi kukuombea na ukaamini nguvu za kichungaji - basi, huo ulikuwa utapeli ambao amewafanyia wengi sana.

Mkuu, najua hukupata kura. Ila wewe ndio Rais, na Lowassa ameshakubali mpaka 2020 .

Mkuu, una wadhifa kuliko Daudi, ulionyesha uko tayari kwenda chini na PM.

Usiende chini na RC, huyu ni mbwa mmoja tu! Heshima yake uitenge na kiti cha Urais. HATA KWA NGUVU YA KABILA LENU.
 
Lugha yake sasa iwe hii:

Wabunge wa upinzani wa raise motion ya impeachment ingawa wako wachahe lakini let it be on record!

“46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshitaki rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba rais-
(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano”.

Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili
 
Kama ni zile kura zetu za mdomo naona chenga katika hili swala. Ila kama ni kura za siri hapo ntashawishika
 
Huyu Rais kakidhalilisha sana kiti cha Rais, hafai kabisa, anatoa kauli chafu za kutudharau wananchi na kukumbatia waovu, bunge litusaidie tumfukuze kazi akadumishe ndoa yake na makonda !!!! Au wananchi tuingie barabarani !! Nyerere alituachia nchi yetu ikiwa na misingi mizuri kabisa, huyu anaibomoa. Upuuzi kabisa huu hauvumiliki hata kwa sekunde.
 
Huwa najiuliza sana wakati wanampa uongozi hawakumjua tabia? Mbona mnatutesa hivi jamani! Nyiye ccm mbona mnamshangilia sana! Kwamba haya makosa nayaona mimi tuu nyiye hamyaoni?
 
Magufuli tumechoka kufanywa mafala!

...

Usiende chini na RC, huyu ni mbwa mmoja tu! Heshima yake uitenge na kiti cha Urais. HATA KWA NGUVU YA KABILA LENU.

Mimi siyo fala labda wewe na wale wanaotaka Serikali iendeshwe na mitandao ya kijamii au Wachungaji Uchwara.

Urais ni Taasisi hivyo ina taarifa nyingi zilizo sahihi kuliko mitandao
 
Back
Top Bottom