Wote hapa duniani ni wapitaji

Michawi ingekua inafikiria hivi hakika ingeacha uchawi..mfyuu
 
Ningewajua wale wasiojulikana walio ua watu na kuwatupa baharini kwa kutetea uovu, wale waliompoteza Ben Saanane na wengineo, wale walioiba Kura mchana kweupe, wale walio mmiminia Lisu risasi ningewatumia hiyo video..
Bahati yao humu jf hawapo.
 
Miaka 399

2022-399 = 1623

Ina maana huyu amezaliwa kabla hata ya Mapinduzi ya Viwanda (Industrial Revolution)?
 
Miaka 399

2022-399 = 1623

Ina maana huyu amezaliwa kabla hata ya Mapinduzi ya Viwanda (Industrial Revolution)?
Itakuwa hivyo, kama miaka yake ni sahihi
 
True halafu unakuta mpumbavu mmoja anaua mwanadamu mwenzake hali nae atoishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…