Wosia wangu kwa vijana wa kiume humu JF, huenda nisitoe tena wosia huu

Huu Uzi nimeukumbuka leo, nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa kigoma huko, (Muha) niliamini ni mtu mmoja understanding kama wengi wanavyowasifia...

Juzi niliahidi kumpa pesa ya kusuka, muda mfupi baadaye nikapigiwa simu mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki, anapelekwa hospital, lakini bahati mbaya hakuwa na cash kwa hiyo akaomba nimpige kampani...

Nimemwambia bibie kuwa hatosuka leo asubiri kesho jioni, imekuwa kesi... "Bajeti yangu si ulishaitenga, sasa mdogo wako si ungempa ya dharura mimi nikasuke?, unaninyanyasa kwa sababu sina kazi, haujali mimi kupendeza ndiyo maana unaamua tu kufanya unavyojisikia"

Baada ya hayo majibu, nikakumbuka huu uzi, chap chap nimemwambia, "kama unadhani wewe una umuhimu kuliko mdogo wangu fikiria upya, I'M AN IDIOT TO THAT EXTENT, USINITAFUTE TENA!"

Saa hizi yupo busy kunitumia msg za kuomba msamaha!
Hutakiwi hata kumjibu mtu kama huyo...
 
Vijana! Nguvu kazi ya taifa letu, watoto wetu, wakwe zetu, madaktari wetu, wanasheria wetu.

Kijana, nakuambia leo hii Jumapili, usipojipenda hakuna wa kukupenda niamini mimi. Huwa nalia machozi kuona vijana wanahangaika kila siku kuwafurahisha na kuwaridhisha wasichana. Unashindia mihogo, yeye anakula burger. Unavaa hovyo ili yeye apendeze, unakonda ili anenepe. Idiot!

Siku hizi vilio vya wanaume ni vingi mno, hususani vijana. Hela zako, pesa zako, ulitafuta mwenyewe, ila bado mtu anakula hela zako huku wewe unakonda, na mbaya zaidi anakuliza, anakunyanyasa, anakufedhehesha, haoni thamani yako na bado anatumbua hela zako. Ni upuuzi. Halafu unalia lia hujui cha kufanya?

Kijana wa kiume popote ulipo mkoa wowote, kona yoyote ya Tanzania hii na hata dunia. Ni marufuku kuanzia leo kulia lia kwa sababu ya mwanamke. Umeharibikiwa maisha yako kwa sababu ya kumfurahisha mtu( mwanamke), aidha umefeli chuoni, umefukuzwa kazi n.k, pole fuatilia ili upone.

Unavaa 'crazy'(majina ya vijana) ili umvutie mwanamke, una fake kula migahawa ya gharama ili umvutie mwanamke na uonekana mjanja, unavaa mlegezo ili umvutie mwanamke, huli baadhi ya vyakula ili umvutie mwanamke, huendi baadhi ya sehemu muhimu ili umvutie mwanamke, huongozani na baadhi ya watu 'potential' kwako ili umvutie mwanamke, endelea kusoma

Umegombana na marafiki waliokutakia mema, waliokuambia ukweli pale ulipokosea, ili umfurahishe 'demu' wako. Hiyo ni laana!

Kisa utaonekana mshamba au wa hadhi fulani. Unawakwepa baadhi ya marafiki potential na wanaokuwazia mema ili umfurahishe mwanamke.

Umeshindwa kulipa fadhila kwa kuwasaidia marafiki waliokushika mkono ukiwa huna kitu, ukiwa unatoka kamasi kwa kupigwa na maisha, ukiwa sio wewe uliye leo hii, ili kumfurahisha mwanamke. Amekukataza kuwasaidia ,eti si watu wazuri kwako.

Kwa mwanachuo, unashindwa kuchangamana japo kidogo tu na wanaume wenzio fulani kisa unawaona washamba, unaogopa unayemuita 'demu' wako atakushusha hadhi kwa kupiga hata stori tu na wanaume wenzako, eti kisa hawajui kuvaa kama wewe, hawana macho matatu.

Hao hao wenzako unaowadharau ndio watakaokushika mkono siku maisha yamekuchapa na kamasi zinakutoka mfululizo.

Heshimu wenzio, mwanamke asikupelekeshe KAMWE ukamdharau mwanaume mwenzio. Ni laana!

Jambo la kusikitisha ni kuwa tayari mpaka dakika hii udhaifu wenu umeshajulikana nao, kwa lugha nyepesi ni kwamba wengi wenu mpo uchi hata mkivaa nguo, yaani uchiiii ile completely. Wanajua wakilia kinafiki au kukohoa kidogo hamna amani.

Wanajua wakipiga simu kukuomba hela kubwa huna jeuri ya kupindua na upo tayari kuweka kiwanja cha urithi bondi, wanajua wakiwajibu shit hamuwezi kuwaacha, zaidi nyie ndio mtaomba radhi ili yaishe.

kuanzia leo;

Ni marufuku kijana wa kiume kulia lia kisa msichana, iwe kulia moyoni au mdomoni, ni marufuku.

Kuanzia leo anza kujipenda na badilisha lifestyle yako, kula vizuri, vaa vizuri, fanya kazi, soma kwa bidii, na ukipata hela jipe raha wewe KWANZA 80%, 19.9% kwa wazazi na ndugu, 0.1% kwa msichana. Hii itakujenga na kukujulisha usichojua, na utakuja kunishukuru kama nitakuwa hai.

Nenda restaurant agiza chakula, kula kwa raha zako, tembelea wahitaji waguse kwa hata kidogo ulichonacho.

Kaulimbiu;
1. Jipende 2. Jipende 2.5. Jipende 3. Mpende.

Kubali kuonekana mbinafsi, kubali kuitwa mchoyo, kubali kuambiwa unaringa, kubali kuitwa vyovyote, utapona wewe sio wa kwanza kuitwa hivyo.

#MkomboeKijanaWaKiume

IMG_20220507_085008.jpg
 
Kuna jinga moja jana linanitania eti naomba unitumie 100,000 nikaliuliza ya nini, eti kupamba mwili.
Nikaliambia sina hadi mwezi uishe likaomba yoyote hata 5000 nikasema hadi meisho wa mwezi limekauka na mm nimekauka na zangu.

Bora nibet tu kuliko ujinga
 
vijana wengi sio kama tunawapenda ila tunatafuta aman ya moyo kingine tunawajali ili wasipate na tamaa,mwisho wa siku tunaishia kupata maumivu ni kweli kujipenda na kujali familia ni muhimu ila mwisho wa siku wanawake wanabaki kuwa ndo furaha yetu........tuendelee kujipenda zaidi
 
Wanawake wanajua kuekti sana. Mwanzo alikua very innocent kila jumapili kwenda kanisani nini . Nahisi kuna shosti yake mmoja ndie aliempoteza.

Ila niliapa lazima nilipize. Lazima nimle mke wa jamaa alienitombea na lazima nile rafiki mmoja wa binti
Vp mkuu ulifikia maazimio yako?
 
Kujipenda wenyewe ni ubinafsi bro,,, and mm sio ke,, it's ain't reasoning when it comes to innate behaviors of human being,,, and trust me,, mnadanganywa sana kuwa kuna kitu as " lovin' yourselves" kama usingekuwa social animal ingekuwa right,,, ila as long you are stop spreading your resentment kwa other people
Feminists katika ubora wako ...teh.....hata uandike kwa kifaransa ndio tumesha kataa kuwa watumwa wa wanawake
 
Kuna jinga moja jana linanitania eti naomba unitumie 100,000 nikaliuliza ya nini, eti kupamba mwili.
Nikaliambia sina hadi mwezi uishe likaomba yoyote hata 5000 nikasema hadi meisho wa mwezi limekauka na mm nimekauka na zangu.

Bora nibet tu kuliko ujinga
BORA KUBET,,HAPO TU NDO KIUMENI SANA ISHI HUMO NINJA
 
Back
Top Bottom