Wosia wa baba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wosia wa baba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Praff, Mar 22, 2012.

 1. P

  Praff Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwako mke wangu na watoto, na jamii nzima kwa ujumla. Najua mtasikitika sana na uamzi niliouchukua wa kujitoa duniani, lakini nimeshindwa kujizuia kutokana na mambo kadha wa kadha ambayo kuyatatua imeshindikana kabisa kwa uwezo wangu wa kibinadamu. Baadhi ya mambo hayo ni:
  1:nimewapa mimba wake 6 za watu na wanafunzi 10 wa shule za msingi.

  2.nimefumaniwa jana na mke wa mganga maarufu wa kienyeji wa kijijini hapa

  3. Nina madeni ambayo hata nikiishi miaka 200 siwez kuyalipa.

  4.nimengundulika kwamba nina virusi vya ukimwi.

  5.nimempa ujauzito binti wa kumzaa mimi mwenyewe.

  6.wananchi wenzangu hawanipendi kwani wanataka kuniua wanahisi mimi ni mchawi, nna macho mekundu.

  7. Nimekula hela zote za miradi ya kijiji kwa muda mfupi, nimezitumia na machangudoa.

  8. Najihisi kufakufa.

  Kutokana na mambo hayo na mengine mengi ambayo kuyataja siwezi, nachukua fursa hii kujitundika kwa kamba ya mbuzi.

  Ni mimi wenu mpendwa
  marehemu mtarajiwa.
   
Loading...