Sorrow to Joy JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 292 Reaction score 59 Mar 17, 2012 #1 jamaa alipewa mic msibani ili aseme machache na alipopewa akaanza hivi 1. Msiba oyeeeeeeee 2. Maiti safiiiiii 3. Jeneza safiiiii 3. Sanda safiiiiii 4. Amependeza hajapendeza?????? 5. Haya mwenye wivu na yeye akufe kama alivyokufa huyu rafiki yangu
jamaa alipewa mic msibani ili aseme machache na alipopewa akaanza hivi 1. Msiba oyeeeeeeee 2. Maiti safiiiiii 3. Jeneza safiiiii 3. Sanda safiiiiii 4. Amependeza hajapendeza?????? 5. Haya mwenye wivu na yeye akufe kama alivyokufa huyu rafiki yangu
P Praff Senior Member Joined Mar 9, 2012 Posts 139 Reaction score 12 Mar 17, 2012 #2 Du, marehemu anaweza kufufuka kwa mtindo huo.
W wa home JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 233 Reaction score 41 Mar 17, 2012 #3 walikosea kumpa mic baada ya kushiba, ndo maana alichangamka hivyo, angekua na njaa angekua mpole.
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 936 Mar 17, 2012 #4 Atakuwa alikuwa mwanapropaganda wa magamba loh, kali kweli
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Mar 18, 2012 #5 maiti safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Mar 18, 2012 #6 mchemsho said: Atakuwa alikuwa mwanapropaganda wa magamba loh, kali kweli Click to expand... *** Kanywa maji yaliofuliwa bendera ya chama (ccm) !
mchemsho said: Atakuwa alikuwa mwanapropaganda wa magamba loh, kali kweli Click to expand... *** Kanywa maji yaliofuliwa bendera ya chama (ccm) !
misorgenes JF-Expert Member Joined Oct 7, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Mar 19, 2012 #7 Ebana noma hyo alikuwa kanywa dompo wine
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Mar 27, 2012 #8 huyo takuwa amepiga zile za kwa mama kayayii. kama zile kule kenya kuna wakati wanywaji waliomba taa ziwashwe mchana wakifikiri ni usiku
huyo takuwa amepiga zile za kwa mama kayayii. kama zile kule kenya kuna wakati wanywaji waliomba taa ziwashwe mchana wakifikiri ni usiku
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Mar 27, 2012 #9 duh nadhani hata maiti ilishtuka
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Mar 27, 2012 #10 Mc washerehe kumpa shughuli ya msiba ndio asara yake hiyo.
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,491 Reaction score 1,298 Mar 27, 2012 #11 umenikumbusha juzi kati mgombea wa ubunge arumeru mashariki kupitia CCM alisema hiyo msiba hoyeee. . . . Kichaa kweli
umenikumbusha juzi kati mgombea wa ubunge arumeru mashariki kupitia CCM alisema hiyo msiba hoyeee. . . . Kichaa kweli