Voltaire
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 1,173
- 1,119
Dar ni jiji linalokuwa kwa kasi kuliko jiji lolote lile duniani kutokana na takwimu za 2016. Kuna mambo mengi sana ya msingi ya kuangalia na kuyafanyia kazi katika kitovu hichi cha kiuchumi TZ.
Dar na sifa zake zote ni chafu mnoo, Kipindupindu ni tatizo sugu linalotokana na uchafu. Ni aibu kubwa sana karne hii ya 21 watu wanarusha sattelite angani, wengine wanaugua magonjwa ya kula "kinyesi cha binadamu". Watoto wa mtaani "chokoraa", ambao wako katika hatari kubwa ya kuwa vibaka au machangudua wamejaa Dar.
Je anadeal nalo vipi kama "boss" wa Dar? Huduma za maji safi? Elimu? Wizi wa unyanganyi na kutumia silaha? Kero ya masoko na machinga?
Nadhani angeelekeza nguvu kwenye mambo yenye tija sio mahakamani daily na polisi, hautakuwa umewasaidia watu wako. Kingine jifunze kutokujibu kila hoja, hutawaweza walimwengu na utaumbuka.
Ukimya pia ni jibu.