Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,278
Boss Mimi binafsi nampongeza Mhongo kwa maamuzi aliyofanya, hata kama ni kwa kushinikizwa lakini ametekeleza kile ambacho bunge lilipendekeza na ambacho wananchi walikuwa wanakisubiri kwa hamu. Ni moja ya uzalendo na uwajibikaji. Ni mategemeo yangu kuwa waliobaki au walioingia upya katika nyazfa mbali mbali wamejifunza kutoka sakata hili la escrow. Kinachonikera ambacho bado sijapata majibu yake ni fedha hizo zilizopotea, zitarudije ili ziwafae maskini vijijini na wanafunzi wanaokosa hadi chaki ya kuandikia kama hatujataja madawati ya kukalia?
Cv ya muhongo itaendelea kuwa juu na kazi yake ya kutukuka itakuwa palepale.
Ndio ya Muhongo leo, alijua fika kuwa anapigwa chini na mawaziri wapya wameitwa kuapishwa, akawahi kuitisha press conference kabla ya muda wa Ikulu kuzuga kuwa amejiuzuru. Tujiulize, je asingejiuzuru angebakia kwenye baraza jipya? Je hao mawaziri wapya walioapishwa walipewa notice ya masaa manne kati ya kujiuzuru Muhongo na kuapishwa kwao?
Muhogo tutakukumba daima
Tanzania haijawahi kuwa na prof.muhongo muhuni na mwongo kama huyu muhuni mwenzake muhongo.prof. yuko safi na anajua nini kakifanya kwa tz na bado anamchango mkubwa dunian anahitajika pia nakuombea prof.mhongo
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.
Prof kaaibisha sana leo.. Kelele zote na mbwembwe zote amesalimu amri kwa Tumbili!!!
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.
Kwa mfano huo hapa Tanzania hebu dokeza kuhusu usomeshaji wa wataalam na kufungua japo chuo cha mambo ya gesi..mkakati ulikuwepo kwenye mipango ya purofesa?
Dude you can not invent a car or computer; vilishavumbuliwa kitambo! so we don't have to copy & paste the Norwegian model, kufanya hivyo kwa Muongo ilikuwa na agenda ya wizi na ufisadi kwa tafsiri yoyote; ambayo ilikuwa ni sababu kubwa ya kauli zake za kifedhuli kwa wananchi, Anyway he is gone; Good riddance, believe me you; inch by inch, we shall tear to shredds mikataba yote ya kifisadi, yote! It is a matter of time like it took for Muongo to GET IT and resign; if he was not pushed anyway!!
Nabii hakubaliki kwao, nenda kafanye yako huko majuu!
Kuna watu humu jamvini kuwaelewesha ni kupoteza muda tu coz' wengi wao ni bendera fuata upepo na wala hufahamu wenyewe kwenye haya mambo hawana!Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.