Worst Dates Experiences( Vidate Vilivododa)!!!!!! Kubwa Gani Lilishakukuta!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!

Niajeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ujue bana First dates zinakuwaga nzito sana kwa watu wengi, especially kwetu Uswazii huku sababu you show who you realy are from day 1, thats courrage and honour! Wenyewe tunasema Be your self, no body should put you down! We are proud of who we are! Sasa tukikutana na Tour Drive guys hapo ndo ya kale yanapokutana na ya sasa!

My Worst (Not worst of the worst) ila inaniumaga mpaka kesho kutwa! Bana weee! It was way back in the days! Enzi za uniform, basi bwana hapo exposure 0 kabisaa, watu bado hawajaanza kwenda Dubai na Us waje watutoe ushamba kidogo. I met this chalii shuleni bwana, sasa kiskonga mtu unaweza kumuona normal ila kwao Nomerrrrrr!!! Au ukamuona noumerrrr kumbe kawaida sanaaa!!!! Basi akanialika dinner hotelini, Mi nikajilipua na nguo zangu za kicheckbob, jeans na topu chini sandals! Mi nikajua sisi wawili tu! Kufika bwana weeeee! Family dinner, watu na familia zao! Isingukuwa wameniona ningepiga Uturn! They were way outta my league!!!! Hawakua harsh ila they had style n class, kujishaua sasa, french wine wanazipronounce exactly, english slang, glass inashikwa na vidole, kuku analiwa kwa umma!!!! Mijicho ilinitoka kama mjusi kabanwa na mlango!!!! Aisee nilitesekaje sasa, ila nilikomaaa mwanzo mwisho. Chezea quick leaner!!!!! Kingereza cha kibongo, mda wote kimyaaa, nimebaki Yes! No! Ofcourse! masaa 3 niliona kama siku! Ilinibidi nimuombe yule bwana asiniseme shule maakeee!!!!! Na anifundishe civilization kidogo! Sitosahau!!!!!!!!

My bros worst experience!!!! Kuna kidada kiliamia kitaa toka arusha, kidogodogo, portable ukikiona kipoleee! Basi akakiibukia wakapanga wakutane bar! (Mtaani kwetu hatuna gharama mwanaume kama unamtaka humzungushiii/ kumkomoa) Kufika yeye kaagiza castle ya wasomi, bi dada Safari Lager! Mmmmh! Akaona ngoja aone mwishowe! Yeye 3 mwenzie tano, mkavuuuu! Jicho kodooo! Kufika ya 5 network zinakatika katika mwenzie gado!!!! Mwishowe akzima kabisaaa! Bi dada kamkokota kamrudisha hadi home, huyo kaondoka!!!!! Aibu yake kesho asubuhi kidogo ahame nyumba!!! Kama pombe usiwezi achaaa, mambo gani ya kukokotwa na kidada! LOLEST!!! Hakumtongoza tenaaa! Kashika adabu yake ikamshika!

WHAT WAS YOUR WORST EXPERIANCE!!!!!?
 

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahahahah mashosti wa chugga nomerrr....wanapiga nyagi na bado wakavuuu.....kitu kinafyonza ka sponchi.....mie sijapitia vidate vingi kihivyo so sina la kuhadithia kwa sana...ila kuna kimoja nilibugi enzi za chuo sitaki kukumbuka lol
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
hahahahahahahah mashosti wa chugga nomerrr....wanapiga nyagi na bado wakavuuu.....kitu kinafyonza ka sponchi.....mie sijapitia vidate vingi kihivyo so sina la kuhadithia kwa sana...ila kuna kimoja nilibugi enzi za chuo sitaki kukumbuka lol
Sema banaaaaaa! Ulibugi nini men! Au uliliwa!
 

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,311
2,000
Hahaha...kubwa la maadui!!!!!!

Mi sina hizo thank God..it went very well on my first dates...ol 15 of em....
 

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,270
2,000
Hahahahahahahahahaahhaha,

Hivi mwaka 1947 tulikuwa tunadate kweli??

Ila kukutana na mtu anakuimbia Yesu, Yesu, Yesu na Maria mwanzo mwisho nayo ni kituko kwa wale tunaotokea Unyantuzu!!


Babu DC!!
 

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,279
2,000
Ha ha ha unanikumbusha enzi za kukutana steers na nandors.. Bila kusahau snowcream opposite st joseph catherdal bookshop..

Nitarudi kuelezea Nilivyobug meeen
 

vukani

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
245
195
Mie yuko mmoja alinialika dinner hoteli moja maarufu katikati ya jiji sasa sijui alinifanyia tathmini vibaya, kumbe pale huwa tunaenda dinner na familia mara kwa mara kwa sababu mdingi ana supply bidhaa flani flani pale hivyo tunajuana na meneja wa pale.

Tulipofika na kukaa akaja meneja kutusalimia kwa bashasha na baada ya kumtambulisha kuwa niko na rafiki for a date akatuzawadia chupa ya wine.

Jamaa aliishiwa nguvu maana hata mistari ilimshinda nikajikuta mie ndio mwenyeji.
 

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,312
1,225
Hahahahahahahahahaahhaha,

Hivi mwaka 1947 tulikuwa tunadate kweli??

Ila kukutana na mtu anakuimbia Yesu, Yesu, Yesu na Maria mwanzo mwisho nayo ni kituko kwa wale tunaotokea Unyantuzu!!


Babu DC!!
umeona eeeh!
kanunue popkoni basi tuangalie hii muvi inaendeleaje, lol!
 

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,270
2,000
umeona eeeh!
kanunue popkoni basi tuangalie hii muvi inaendeleaje, lol!

Hivi sasa nyie watu wa one 1947 mtasimulia nini?

Yaani ile unaanza kuona jua tu, unashangaa kana kwamba kuna solar eclipse kisha uko ndani kwa mtu....

Nadhani dunia yao na yenu ni kama maji na mafuta....

Wapi snowhite na Nyamayao washangae shangae??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,959
2,000
Hivi sasa nyie watu wa one 1947 mtasimulia nini?

Yaani ile unaanza kuona jua tu, unashangaa kana kwamba kuna solar eclipse kisha uko ndani kwa mtu....

Nadhani dunia yao na yenu ni kama maji na mafuta....

Wapi snowhite na Nyamayao washangae shangae??

Babu DC!!
af babu yule accused wako ana hela leo ukimdai fidia atamalizana na wewe!
ahahahhahhahhahah kwa hiyo hapa mnakumbushiana mlivokuwa mnapanga kukutana kisimani kaka waubwa wakatokea au?NAULIZA TU!
 

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,312
1,225
Hivi sasa nyie watu wa one 1947 mtasimulia nini?

Yaani ile unaanza kuona jua tu, unashangaa kana kwamba kuna solar eclipse kisha uko ndani kwa mtu....

Nadhani dunia yao na yenu ni kama maji na mafuta....

Wapi snowhite na Nyamayao washangae shangae??

Babu DC!!
mwenzangu....... lakini kila kitu na wakati wake, hatujutii.....
sisi enzi hizo tulikuwa tunashangaa kujikuta tayari upo ndani ya himaya ya mtu, yaani hata hujawahi kuwaza kama siku zinaenda sijui nitapata mtu? siku hisi wanaambiana hivi
 
Last edited by a moderator:

mak89

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
1,070
2,000
Ya kwangu ilikuwa aibu ya mwaka aisee, nilishikwa na tumbo la kuhara kali kupita maelezo, aliyotokea ni aibu
 

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahah kuna watu wako standby kusubiri siri za jeshi.....nimeghair ngoja nkalale...usiku mwema kwenu nyote...roho wa bwana awe nanyi na awalinde usiku huu....
 

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,270
2,000
af babu yule accused wako ana hela leo ukimdai fidia atamalizana na wewe!
ahahahhahhahhahah kwa hiyo hapa mnakumbushiana mlivokuwa mnapanga kukutana kisimani kaka waubwa wakatokea au?NAULIZA TU!
Huyo lazima tumkamate sasa hivi....ngoja niite vijana wakamate mwizi meeen!!


Duuuh.......nimekumbuka story moja iliyonitokea enzi zile za 1947...

Mie nimetoka zangu shule, nikaanza kutangaza ubabe wa form 2...pale kijijini, kulikuwa na kabinti kazuri sana,

Njioni moja kwenye kagiza giza nikakutana nako na kuanza kukasindikiza....yaani ile hatujafika mbali, na kwenye ki njia chambamba, tukakutana na baba yake, tena ameshika panga....!!!

Yaani nilitamani atokee chatu atumeze twende wote....Baada ya hapo kalifungiwa ndani hadi likizo yangu ikaisha. Niliporudi likizo nyingine nikakuta kameolewa na mhuni mmoja, unfortunately, wote walisharudisha hesabu kwa Bwana (RIP)!!


Babu DC!!
 

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,126
2,000
Ha ha ha ha!! huu uzi bana nimeupenda sana, unanikumbusha siku moja pande za wapi hizo bana, mbagala charambeeeeeeeeeee mtoto ndani ya nissan hard body double cabin, kikazi zaidi na ina nembo kibao za kampuni, basi nikasema ngoja nistue thupu kidogo
aaaaaaaah kwa raha zangu, lete kuku kidali, chapati 2 na ndimu ya kutosha, si unajua jana yake nilikuwa nimelala promo so inabidi kuweka zege murua. mara heeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyaaaaaaaaaaaa toto likaingia bana, **** **** haswaaaa, mtoto kala jeans limemkaa, juu katupia top kali mbayaa,
kijana nikaona isiwe ishu, basi wakati muhudumu anamfuata nikamwita na kumwambia namuomba mezani kwangu kama hatajali!!!! bi dada bana hakuwa na hiana, kwa mwendo wa paka, wathungu wanaita "cat walk" huyo akatinga kwa meza. mi aaaaaah swadapta, agiza unachijisikia bi dada, ruksa vikali, baridi, jikoni au nini
mara haya, kuna kongoro? muhudumu "zipo!!" bi dada yuko naomba kongoro 2, chapati 2, nikaona mh kazi imeanza. Nikamkolezea, na kinywaji wakuletee nini??! bi dada yuko, naomba Guiness ya baridi na Konyagi ndogo!!
Ha ha ha, mwanaume macho kodooooo, guess kilichofuata
I just paid the bill and had an excuse
 
Top Bottom