Worst Dates Experiences( Vidate Vilivododa)!!!!!! Kubwa Gani Lilishakukuta!

Huyo lazima tumkamate sasa hivi....ngoja niite vijana wakamate mwizi meeen!!

Duuuh.......nimekumbuka story moja iliyonitokea enzi zile za 1947...

Mie nimetoka zangu shule, nikaanza kutangaza ubabe wa form 2...pale kijijini, kulikuwa na kabinti kazuri sana,

Njioni moja kwenye kagiza giza nikakutana nako na kuanza kukasindikiza....yaani ile hatujafika mbali, na kwenye ki njia chambamba, tukakutana na baba yake, tena ameshika panga....!!!

Yaani nilitamani atokee chatu atumeze twende wote....Baada ya hapo kalifungiwa ndani hadi likizo yangu ikaisha. Niliporudi likizo nyingine nikakuta kameolewa na mhuni mmoja, unfortunately, wote walisharudisha hesabu kwa Bwana (RIP)!!

Babu DC!!
mi si nawajua mikato yenu nyie wazee si unajua wengine uzee tuliupenda zamani!matokeoa yake ndo hayo!ahaahhahahha eti chatu atokee atumeze wote!
kudadaaaadeki ungemezwa wewe tu!
 
Ha ha ha ha!! huu uzi bana nimeupenda sana, unanikumbusha siku moja pande za wapi hizo bana, mbagala charambeeeeeeeeeee mtoto ndani ya nissan hard body double cabin, kikazi zaidi na ina nembo kibao za kampuni, basi nikasema ngoja nistue thupu kidogo
aaaaaaaah kwa raha zangu, lete kuku kidali, chapati 2 na ndimu ya kutosha, si unajua jana yake nilikuwa nimelala promo so inabidi kuweka zege murua. mara heeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyaaaaaaaaaaaa toto likaingia bana, **** **** haswaaaa, mtoto kala jeans limemkaa, juu katupia top kali mbayaa,
kijana nikaona isiwe ishu, basi wakati muhudumu anamfuata nikamwita na kumwambia namuomba mezani kwangu kama hatajali!!!! bi dada bana hakuwa na hiana, kwa mwendo wa paka, wathungu wanaita "cat walk" huyo akatinga kwa meza. mi aaaaaah swadapta, agiza unachijisikia bi dada, ruksa vikali, baridi, jikoni au nini
mara haya, kuna kongoro? muhudumu "zipo!!" bi dada yuko naomba kongoro 2, chapati 2, nikaona mh kazi imeanza. Nikamkolezea, na kinywaji wakuletee nini??! bi dada yuko, naomba Guiness ya baridi na Konyagi ndogo!!
Ha ha ha, mwanaume macho kodooooo, guess kilichofuata
I just paid the bill and had an excuse

malizia stori banaaaaa!
 
Pale unapotumia "gari la swahiba wako" ukijifanya ni lako ili umpate kimwana matawi, bila kujua swahiba wako ni binamu wa hicho kimwana na huyo swahiba mwenyewe kaazima hilo gari kwa kakaake kimwana...

Hapa tunazungumzia nini? Hebu niitieni Kaizer mie......
 
Last edited by a moderator:
mi si nawajua mikato yenu nyie wazee si unajua wengine uzee tuliupenda zamani!matokeoa yake ndo hayo!ahaahhahahha eti chatu atokee atumeze wote!
kudadaaaadeki ungemezwa wewe tu!

Angenimeza peke yangu sasa ningefaidije??

Kweli kabisa....ujana ni maji ya moto!

Wale ambao ndo yako nyuzi joto 100, basi wajitahidi kufaidi kabla hayajahamia kwenye negatives!!

Ila na sie tulifaidi kivyetu vyetu, hata kama wao wanahisi kuwa wanafaidi zaidi yetu!!

Babu DC!!
 
babu mie sikuwa naishi kwa masista ila nilikuwa makini halafu sikuwa na mzuka wa kudate, sijui ndo ushamba au ndo uwoga, nilichelewa kudate loh........

Safi sana BADILI TABIA,

Kuna mtu alinambia kuwa wadada waliokuwa wakali wa shule walijikuta kama wamepata temporary impotence,

Na wewe ulikuwa mhanga??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
masista wa canossa hawa wa juzi!huyu ni wa enzi za masista wa Chipole muulize dada mkubwa @fp

Hapana bwana snowhite,

Kuna maeneo kama vile Bukoba, masista na mapadre wa Canossa wapo toka siku nyingi....

Ila hata hao wa Chipole niwasikia sana maeneo ya kusini...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahaha
babu una vituko sana, naona una jaribu kuficha!

Hahahahahahahahahaahhaha,

Hivi mwaka 1947 tulikuwa tunadate kweli??

Ila kukutana na mtu anakuimbia Yesu, Yesu, Yesu na Maria mwanzo mwisho nayo ni kituko kwa wale tunaotokea Unyantuzu!!

Babu DC!!
 
Hahahahahahahahahaha
babu una vituko sana

Vitu gani tena, waitu omulangila Ta Rutta??

Ujue hii miaka tuliyokata imetupitisha kwenye milima na mabonde mengi aisee!!

Wewe hujawahi kukimbizwa na baba mtu akiwa na panga mkononi...huku anakumwagia matusi ya reja reja.

Kalye empali, kalye empali ya nyoko?

Babu DC!!
 
Sisi wengine tumekulia vijijini huko matakon mwa dunia kila mwanamke unamuita dada...
Ukimtaka mwanamke unasubiri wakati wa kwenda kisimani ni mwendo wa kupigana mitama, au unavizia akiwa anapeleka mazao gulioni unamganda kama kivuli....
But the best of em all ilikuwa unasubiri siku ya ngoma na shamrashamra za mbio za mwenge kwenye ofisi za chama (TANU/CCM), siku kama hizo kama kweli ni rijali lazima uangushe mibuyu kadhaa.
 
Ha ha ha ha!! huu uzi bana nimeupenda sana, unanikumbusha siku moja pande za wapi hizo bana, mbagala charambeeeeeeeeeee mtoto ndani ya nissan hard body double cabin, kikazi zaidi na ina nembo kibao za kampuni, basi nikasema ngoja nistue thupu kidogo
aaaaaaaah kwa raha zangu, lete kuku kidali, chapati 2 na ndimu ya kutosha, si unajua jana yake nilikuwa nimelala promo so inabidi kuweka zege murua. mara heeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyaaaaaaaaaaaa toto likaingia bana, **** **** haswaaaa, mtoto kala jeans limemkaa, juu katupia top kali mbayaa,
kijana nikaona isiwe ishu, basi wakati muhudumu anamfuata nikamwita na kumwambia namuomba mezani kwangu kama hatajali!!!! bi dada bana hakuwa na hiana, kwa mwendo wa paka, wathungu wanaita "cat walk" huyo akatinga kwa meza. mi aaaaaah swadapta, agiza unachijisikia bi dada, ruksa vikali, baridi, jikoni au nini
mara haya, kuna kongoro? muhudumu "zipo!!" bi dada yuko naomba kongoro 2, chapati 2, nikaona mh kazi imeanza. Nikamkolezea, na kinywaji wakuletee nini??! bi dada yuko, naomba Guiness ya baridi na Konyagi ndogo!!
Ha ha ha, mwanaume macho kodooooo, guess kilichofuata
I just paid the bill and had an excuse

pole ndugu yangu ntarudi kukuhadithia ya kwangu
 
Hahaha...kubwa la maadui!!!!!!

Mi sina hizo thank God..it went very well on my first dates...ol 15 of em....

Fifteeeennnnnnn!!!!!!!!!! What a player! I guess bado hujampata huyo the One!
 
Vitu gani tena, waitu omulangila Ta Rutta??

Ujue hii miaka tuliyokata imetupitisha kwenye milima na mabonde mengi aisee!!

Wewe hujawahi kukimbizwa na baba mtu akiwa na panga mkononi...huku anakumwagia matusi ya reja reja.

Kalye empali, kalye empali ya nyoko?

Babu DC!!

Hahahaaaaaaa! Hapo kwenye BOLD bado napatafutia tafsiri yake huku ofisini kwa kumuuliza kila mtu, nisaidie ni kilugha gani? Siwezi kuachia kujua maana yake!
 
Back
Top Bottom