Worst architectural building along Ali Hassan Mwinyi Road!

A shopping mall to be. After completion you will like what will be sold in if you wont like the building.
 
Alafu watu wa mipango miji wanatoa vibali tu vya ujenzi wa kihasara, yani shopping mall gani hii?
 
Sheria ndogo ya architecture ninayoifahamu, unachora kitu kinacholingana na majengo yanayokuzunguka.

Sasa huyu developer na architect wameweka magodown ya Nyerere rd na Chang'ombe sehemu si yake.
Na vilaza wa mipango miji wanachekelea pochi tu.
 
A shopping mall to be. After completion you will like what will be sold in if you wont like the building.

Bwana we, it takes fools to develop ,draw and build a mall on a main highway like AH Mwinyi rd.
It takes bigger fools at the City Hall to approve them!
Results
- no parking
-difficult access and egress
-long ensuing ques
-padestrians will be knocked over frequently and more vehicular accidents

Call it a lose-lose scenario.
 
Badil njia kama unakwazika,sio lazma kpita hapo
 
Bwana we, it takes fools to develop ,draw and build a mall on a main highway like AH Mwinyi rd.
It takes bigger fools at the City Hall to approve them!
Results
- no parking
-difficult access and egress
-long ensuing ques
-padestrians will be knocked over frequently and more vehicular accidents

Call it a lose-lose scenario.
Tatizo mmekariri kuwa kwenda mjini lazima uende na gari.
Mji kama wa Dar, kwanini uendeshe gari mpaka city centre?
 
Haha ni kweli aisee ila liko hivo kutokana na function zake za ndani kule juu kuna movie theater ndio maana hamna madirisha.... Ingekuwa bora ziwe kwenye other side ya facade... Sikuhizi hizi kazi zetu zinaingiliwa na maengineer ndio maan design zinakuwa mbaya hio ni kazi ya engineer architect hawezi chora jengo baya hivi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mkuu umeondoka bongo siku nyingi au vipi?
Hilo jengo haliko CBD(Central Business District) likoaeneo ya Oysterbay.
 
Haha ni kweli aisee ila liko hivo kutokana na function zake za ndani kule juu kuna movie theater ndio maana hamna madirisha.... Ingekuwa bora ziwe kwenye other side ya facade... Sikuhizi hizi kazi zetu zinaingiliwa na maengineer ndio maan design zinakuwa mbaya hio ni kazi ya engineer architect hawezi chora jengo baya hivi

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Huyo mtaalam aliyechora dudu hili afungiwe leseni.
Bango linasema ni nani?
 
Nilidhani ni mimi pekee ndio napata mshangao ninapopita pale kumbe wapo na wengine? Lakini ndio uwezo wa baadhi ya wataalam wetu wa uchoraji hapa nchini.
 
Sio uchoraji tu, hata ujenzi wenyewe wa mashaka mashaka!
 
Nilidhani ni mimi pekee ndio napata mshangao ninapopita pale kumbe wapo na wengine? Lakini ndio uwezo wa baadhi ya wataalam wetu wa uchoraji hapa nchini.

Uwezo wa kufikiri wa mwanzisha mada na wewe ndio unaotia mashaka na wala si uwezo wa mchoraji.

Hivi kwa akili zenu, ni mchoraji ndio huamua cha kuchora au huambiwa achore kitu kitakachokuja kujengwa kutokana na matakwa ya mteja?

Huyu aliyeanzisha mada amekiri kuwa hajui ni ofisi, godown au kitu gani, lkn bado kwa akili yake fupi akaendelea kukosoa. Kwa hiyo mnataka kusema nyie ndio mna akili saana kuliko mwenye kumiliki jengo. Au mnaamini kuwa mchoraji anatakiwa ajichoree anachotaka yeye na sio kuchora alichoambiwa na mteja wake?

Kazi ipo, GTs hao!
 
Sheria ndogo ya architecture ninayoifahamu, unachora kitu kinacholingana na majengo yanayokuzunguka.

Sasa huyu developer na architect wameweka magodown ya Nyerere rd na Chang'ombe sehemu si yake.
Na vilaza wa mipango miji wanachekelea pochi tu.

Sheria namba ngapi hiyo mkuu?

Kaa ujue kuwa ni mteja hueleza mahitaji yake na mchoraji huchora. Sasa wewe mchoraji bingwa ukiambiwa uchore Kanisa utachora msikiti kwa kuwa hapo karibu kuna misikiti mingi imezunguka. Gharama ya kujenga majengo haifanani, kumbuka hilo nalo pia.

Wakati Mafuta House inajengwa, niambie majengo mengine yanayozunguka ambayo yanafanana na Mafuta House
 
Tatizo la watanzania tunapenda kuhukumu tuu bila kujua
inawezekana client kwa hela yake kapindisha sheria na anajenga mwenyewe!
did u know the owner????? utakaaaaa kimya when you know

:target::cheer2:
 
Back
Top Bottom