mzaramo halisi
Member
- Jul 8, 2013
- 94
- 25
Nakubali kila mwenye kutumia kompyuta atakuwa amekutana nayo hiyo picha.
Labda kwa sababu ni washwa washwasi kweli, mi ndo naiona leo
Basi toka hujue kukuza picha imekuwa balaa mwaJ. Mi kwangu Copy URL haiji napata taabu kuona kwako somo limeeleweka kwangu bado
Kama nimeelewa vile?
Yaani kwako somo limeeleweka kabisa na mtihani unapata 100% tongi. Sasa kwangu nikilaiti kiliki Copy URL haiji zinakuja vitu vingine kabisa. Sasa sijui komuputa yangu?
Labda kwa sababu ni washwa washwa
si kweli, mi ndo naiona leo