Worlds most creative statues.

"I'm so wonders kwa kweli yaani nimeshangaa"-Vincent Kigosi

Very interesting hasa hiyo nyumba iliyodidimia/zama huyo jamaa ndo bonge la mbunifu(according to me)

Hata mimi nimeipenda pia.
 
 
Read my post 👆👆👆👆👆

nimeisoma nikagundua kuwa kulikuwa na perceptions mbili kwenye tafsiri moja wakati jamaa akiongelea hizo sanamu kama alama za illuminant kwa nia njema kabisa wewe ulichukulia wayasemayo watu wa mitaani ambao hapa sio valid
 
nimeisoma nikagundua kuwa kulikuwa na perceptions mbili kwenye tafsiri moja wakati jamaa akiongelea hizo sanamu kama alama za illuminant kwa nia njema kabisa wewe ulichukulia wayasemayo watu wa mitaani ambao hapa sio valid

Mshana hapo sijakuelewa.
Hivi una jua hizo statue zingine ni za zamani sana ? Ka ukisoma world history na kila statue ina maelezo ya kwa ni kwa nini waliamua kuijenga.
In short, bado sijaelewa vizuri tunachopingana, but my view is hakuna ststue hata moja inayo husiana na illuminat
 

Nafikiri hatupingani bali tumekuwa na mitizamo tofauti kwenye kitu kimoja Saint Ivuga kuna baadhi ya statues hapo zina connection na illuminant na pia kumbuka illuminant nayo sio ya jana au juzi hebu soma kuhusu luciferianism, nina post moja kule jukwaa la dini hebu tembelea nitakutag kama una access ya kuingia kule

Mimi labda nilichotofautiana nawe kidogo ni ile myth ya illuminant/freemason kwa mtazamo wa mitaani
 
Last edited by a moderator:

Hadi leo siamini kuna kitu kinaitwa illuminati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…