tanganyikakwanza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 493
- 188
abakorakamo ni bubu mkuu,so kaajiriwa lumumba so mikono na keyboard ndo kula yake ivyo msamehe.Wewe mdini wa ACT ni mjinga sana
kwanini world vision wafanyakazi wake wote ni wakristo?
kwa nini world vision kwenye interview wanauliza maswali ya kwenye vifungu vya biblia mkuu..?
wachaga ni wabaguzi sana,, tatizo hr wao ni mchaga anaweka wachaga wenzake tu..
Pia shirika inategemea limeanzia kufanya kazi wapi tangu limeingia nchini, sasa likianzia mikoa ya kaskazini ambapo tayari kuna mijitu kibao ina vyeti vyao unategemea nini? kila mtu ana attempt usishangae 90% ya application zinatoka huko. Niliwahi kufanya kazi sehemu wilayani, wakazi wa pale wakawa wanalalamika shirika linachukua watu wa nje ya mkoa ule (jibu lilikuwa nafasi zinatangazwa kwenye gazeti kila mtu anaomba, wakaulizwa qualification zao zikawa chini ya kiwango)sikatai kuwa kuna weza kuwa na kaupendeleo. lakini niweke wazi maeneo mengi tz yanatofautiana itikadi. moja ya itikadi ya wenzetu huko moshi ni kusomesha watoto.
kuna familia nyingi unakuta kipaumbele ni mme kuowa na mke kudai talaka na watoto kulelewa bila muelekeo. sisemi kuwa hawawezi toka wasomi lakini mazingira sio user friend. mbona wahaya ndio wanaongoza kufundisha vyuoni hujasema?
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo
hi cyo zama yakusema eti wachaga ndyo wamesoma sna kuliko wenzao hapana.ckuhz hata vjjn wapo wasomi.WACHAGA NIWABAGUZ
Mkuu, wewe uliulizwa kifungu gani?
World Vision Tanzania is a
Christian relief, development and
advocacy nongovernmental
organisation (NGO) which started
in 1981 as part of World Vision
International Kenya. This followed
a pastors conference in Dodoma
involving 550 church leaders that
was held in 1970, and other
subsequent opportunities leading
to the start of World Vision
Tanzania.
hi cyo zama yakusema eti wachaga ndyo wamesoma sna kuliko wenzao hapana.ckuhz hata vjjn wapo wasomi.WACHAGA NIWABAGUZ
kwanini world vision wafanyakazi wake wote ni wakristo?
kabla ya kuuliza makabila yao uliuliza utendaji wao na elimu zao kwa nafasi hizo kama zinaendana? au ulianza kuuliza kabila na kuacha welezi ,uwezo na elimu?
world vision waondoke nchini hatuwataki.. wakaendeleze ubaguzi wao huko kwao