Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchana na mkristo hupati kazi hapo
wachaga ni wabaguzi sana,, tatizo hr wao ni mchaga anaweka wachaga wenzake tu..
Kaombe kazi Muslim aid utapata fursa mumiani wee
wachaga ni wabaguzi sana,, tatizo hr wao ni mchaga anaweka wachaga wenzake tu..
---- wee utabakia hivyo hivyo soma upate fursa utakuta wewe muha
Tunawakaribisha sana,lakini madai yako mtoatmada sidhani kama yanaukweli coz tupo wasukuma pia wengi tu,njoo lake zone wachaga ni wawili tu,kitu hujajua ni kwamba wakati wa nyuma kidogo shilika lilikua likiajili staff kutoka sehemu husika za miradi,kwa maana ya kwamba jamii ya eneo husika wanalijua eneo lao na wanaweza kufanya kazi na jamii hiyo ambayo ni ya kwake mwenyewe muajiliwa,ndo maana katika maeneo hayo umeona wachaga wengi kwa sababu ni maeneo yao,pole kwa kutokutuamini na ubarikiwe sana!

world vision ni shirika la kibaguzi sana.. kwenye interview unaulizwa vifungu vya biblia,, yani kama wewe sio mchaga na mkristo hupati kazi hapo