World Rally Championship (WRC) - SAFARI RALLY KENYA 2021

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,837

After almost 20 years, Safari Rally Kenya returns to the World Rally Championship this weekend and the roads north of Nairobi are primed, ready, waiting and completely alien to today's rallying elite.​

For nearly two decades the World Rally Championship crown has been missing a gem, but this week, it's back. Welcome home, Safari Rally Kenya.

The last time this rally was on of the WRC calendar was 2002. That year Apple released a second generation iPod with 20GB for people to fill with Justin Timberlake. Or Britney. Or both. And Colin McRae won the Safari Rally in a Ford Focus RS WRC.

19 years on and the iPod, as well as the world, has changed. Safari Rally Kenya has changed considerably. Gone are the days of racing on open roads, when dodging oncoming traffic was as much part of the event as the giraffes and elephants. This week's sixth round of the World Rally Championship is entirely familiar in format to the five events proceeding it this year.

The 320km route is 800 shorter than the itinerary mastered by McRae in 2002, but the roads are still the same roads. Names like Elmenteita, Chui Lodge and Kedong still stir the same emotions.

thierry-neuville-wrc-rally-italia-sardegna-2021

None of the current WRC crop of stars has ever raced Safari Rally Kenya​

IMG-20210626-WA0032.jpg
IMG-20210626-WA0030.jpg
IMG-20210626-WA0028.jpg
 
Hongereni, hongera Uhuru kwa kuurudisha mchezo huu Kenya

Sema vizazi vya leo wapenda games za PS na Youtube sijui kama watachangamkia kama ilivyokua enzi zetu tukiwa wadogo, kipindi hicho nchi ilikua inasimama, yaani wiki yote hamna kinachoendelea wote tunaongea kuhusu hii shughuli, japo pia runinga zilikua chache mtaani, magazeti yalikua yananunuliwa kwa kugombania, mitaani tulikua tunajenga vijigari kwa kutumia mikebe na magurudumu kwa kutumia ndala....maisha yalikua raha sana unajikuta siku inaisha ukiwa na furaha ya kufa mtu.

Sitegemei tena namna ya kurudia hayo maisha.

Watoto wangu hapa wamegoma kwenda kushuhudia haya mavitu, kutwa wanataka washinde kwenye PS3 wanashindana humo na magari yao.
 
Those days daah......
 
Napenda Sana uandishi wako wa Kiswahili, hakika unaitendea haki lugha yetu adhimu
 
Sema vizazi vya leo wapenda games za PS na Youtube sijui kama watachangamkia kama ilivyokua enzi zetu tukiwa wadogo, kipindi hicho nchi ilikua inasimama, yaani wiki yote hamna kinachoendelea wote tunaongea kuhusu hii shughuli, japo pia runinga zilikua chache mtaani, magazeti yalikua yananunuliwa kwa kugombania, mitaani tulikua tunajenga vijigari kwa kutumia mikebe na magurudumu kwa kutumia ndala....maisha yalikua raha sana unajikuta siku inaisha ukiwa na furaha ya kufa mtu.

Sitegemei tena namna ya kurudia hayo maisha.

Watoto wangu hapa wamegoma kwenda kushuhudia haya mavitu, kutwa wanataka washinde kwenye PS3 wanashindana humo na magari yao.
Kweli kabisa...siku izi vijana wamelala sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom