1.Valdimir Putin 🤸1. Saladin
2. Shaka
3. Napoleon Bonaparte
4. Attila the Hun
5. Genseric the Vandal
6. Alexander the Great
7. Charlemagne
8. John Okello
9. Chris Hani
10. Hannibal
11....
Kwenye world history hakuna jeshi limewahi kuwa na nguvu, organized na strategy kama la Roman empire. Ile ni empire mzee, sio nchi. Kama waarabu walishinda kwenye jimbo moja tu la empire haina maana waliishinda empire nzima. Inategemea na priority za empire kipindi hicho. Unaweza kuta walikuwa na camping zingine za maana wameconcetrate hukoWell tufanye basi Byzantine ilishinda vita zote, na haikupigwa, na Jerusalem haikuanguka
Balj....Duh, yaani kwenye list yako umemuweka John Okello? Kwenye list yako hayupo Khalid ibn Walid, 'Amr ibn al-'As, S'ad ibn Abi Waqqas, Tariq ibn Ziyad, Genghis Khan, Muhammad al-Fatih, Aurangzeb, George Washington, Erwin Rommel, George Patton na Douglas McArthur!!
Roman empire haikunyang'anywa Jimbo moja tu na Waarabu, Bali Ilinyang'anywa majimbo mengi including, Syria, Mesopotamia(Irak), Palestine, EgyptKwenye world history hakuna jeshi limewahi kuwa na nguvu, organized na strategy kama la Roman empire. Ile ni empire mzee, sio nchi. Kama waarabu walishinda kwenye jimbo moja tu la empire haina maana waliishinda empire nzima. Inategemea na priority za empire kipindi hicho. Unaweza kuta walikuwa na camping zingine za maana wameconcetrate huko
Mkuu, dola la Rumi katika miaka yake zaidi ya 2000 halijawahi kufanikiwa kuwapiga waajemi hata siku moja. Baada ya dola la Karthago (Carthage) nadhani madola ya Uajemi (The Parthian Empire and The Sassanian Empire) ndiyo yalikuwa maadui wakubwa wa Roma ambao Roma alishindwa kuwashinda. Hizi nyingine za kusema Roma hawezi kushindwa nadhani ni propaganda za kidini ambazo inabidi zitazamwe upya. Haya hebu zingatia vita zifuatazo:Byzantine haikuwa Syria tu. Hivyo kama alishinda vikosi vya Syria haina maana kuwa aliwashinda warumi. Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuwashinda warumi
Msimsahau yule mama wa Singida aliyewakimbiza wajerumani kwa kutumia nyukiWa kwangu ni:
(1) Alexander the Great
(2) Field Marshal Zhukov
(3) Admiral Nimtz
(4) General Eisenhower
(5) Field Marshal Ben Montgomery
(6) Shaka Zulu the Great
(7) Mzilikazi, also spelled Mosilikatze or Moselekatze,
(8) Chief Songea
Sio Songea sema full AbdulRauf Songea Mbano chief of RovumaWa kwangu ni:
(1) Alexander the Great
(2) Field Marshal Zhukov
(3) Admiral Nimtz
(4) General Eisenhower
(5) Field Marshal Ben Montgomery
(6) Shaka Zulu the Great
(7) Mzilikazi, also spelled Mosilikatze or Moselekatze,
(8) Chief Songea
Ni sahih Ruum au roma ilikua great roman empire.lakin walikuja kupoteza na kufutika.Roman empire haikunyang'anywa Jimbo moja tu na Waarabu, Bali Ilinyang'anywa majimbo mengi including, Syria, Mesopotamia(Irak), Palestine, Egypt
Baada ya hapo haikubaki Roman Empire ile yenyewe tunayoisoma!
Khalid ibn walid.sayfuu llah.huyu jamaa alikuwa anaenda na jeshi wakat fulan amekwenda kuvamia rome.kapaki jesh mpakana akaandika barua kwenda kwa kaesar.akimwambia. nje yako kuna jeshi ambalo kufa kwao ni kuzuri zaid kama ambavyo kuishi ni kuzuri kwenu.silimu au lipa kodi,.. hakuna aliyekuwa anaweza vita na huyu mwambaDuh, yaani kwenye list yako umemuweka John Okello? Kwenye list yako hayupo Khalid ibn Walid, 'Amr ibn al-'As, S'ad ibn Abi Waqqas, Tariq ibn Ziyad, Genghis Khan, Muhammad al-Fatih, Aurangzeb, George Washington, Erwin Rommel, George Patton na Douglas McArthur!!
Hii list bila Sun Tzu, Genghis Khan, Sima Yi na Zhughe Liang basi ni batili. Hao ndo walotengeneza foundation ya tactics za kupambana dhidi ya adui iwe nje au ndani ya vita. Nikimaanisha hata mahakamani au kwenye business competition tactics za hao jamaa bado zinafanya kazi1. Saladin
2. Shaka
3. Napoleon Bonaparte
4. Attila the Hun
5. Genseric the Vandal
6. Alexander the Great
7. Charlemagne
8. John Okello
9. Chris Hani
10. Hannibal
11....
Zelensky the Visionary!1. Saladin
2. Shaka
3. Napoleon Bonaparte
4. Attila the Hun
5. Genseric the Vandal
6. Alexander the Great
7. Charlemagne
8. John Okello
9. Chris Hani
10. Hannibal
11....
Nikupe tu hii ya karibu ottoman empire ilitawala hiyo ulaya yote Asia na AfricaByzantine haikuwa Syria tu. Hivyo kama alishinda vikosi vya Syria haina maana kuwa aliwashinda warumi. Hakuna mtu mwenye ubavu wa kuwashinda warumi
Anaitwa Field Marshall Erwin Rommel wenyewe wakimwita Desert Fox. Alitikisa sana na Afrika Korps yake kule Afrika ya Kaskazini wakati wa vita ya pili ya dunia. Rommel was a military genius!Erwin Rommel
huyu Wamarekani wanamjua, hali kadhalika Waingereza wanamjua
Huyu bwana Akiwa na Silaha duni za kiitaliano katika vita kuu ya pili ya dunia alikuwa anawaburuza Kundi la wamarekani,Waingereza,Wafaransa kwamuda mrefu na akiwa anatumia silaha duni na zana chache
Shujaa Erwin Rommel hata waliowachukia Wajerumani licha ya kuwa Rommel ni mjerumani ila walimpenda Rommel