Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Ottoman hajawahi kupigana na mrumi.. acha fixNikupe tu hii ya karibu ottoman empire ilitawala hiyo ulaya yote Asia na Africa
Ottoman hajawahi kupigana na mrumi.. acha fixNikupe tu hii ya karibu ottoman empire ilitawala hiyo ulaya yote Asia na Africa
Anaitwa Field Marshall Erwin Rommel wenyewe wakimwita Desert Fox. Alitikisa sana na Afrika Korps yake kule Afrika ya Kaskazini wakati wa vita ya pili ya dunia. Rommel was a military genius!
Khalid bi WALID ..... in undefeated general in his life time... SHOULD BE No. 11. Saladin
2. Shaka
3. Napoleon Bonaparte
4. Attila the Hun
5. Genseric the Vandal
6. Alexander the Great
7. Charlemagne
8. John Okello
9. Chris Hani
10. Hannibal
11....
Ongeza na General ,James Kabalebe.Paul Kagame
Prophet Muhammad Nasikia nayeye aliluwa anapigana vita,vipi nayeye hapo hawezi kuwa genius hata kuweka sheria na mikakati ya kivita?Khalid bi WALID ..... in undefeated general in his life time... SHOULD BE No. 1