The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,396
- 103,816
Nilijua tu lazima unikimbie,umezowea kuwapeleka mbio wengine na kingereza chako cha kufanyia mazingaombwe,una viwango gani wewe? ndio akili yako inavyokuongopea hivyo?Nimekupa nafasi ya kujieleza na kuthibitisha madai yako, umeshindwa.
Unapapalika kama kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa.
Sina muda wa kujibizana nawe. Hujafikisha viwango vyangu vya watu wa kujibizana nao.
Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Hujajibu swali.
Mungu wako asiponipa hekima na hivyo nikakosa knowledge, hapo litakuwa kosa lake kwa kuwa yeye hajanipa hekima au kosa langu kwa kuwa yeye hajanipa hekima?
Wanafiki Sana hawa watu, wanakesha wanafumuana marinda halafu wanajidai kuzuia wageni kunywa pombe, hypocritesQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Never. Unawajua unawasikiqWatayatoa tu.
kijana wa ovyoo sana wewe🤣🤣🤣Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Ahahaha unatafuta ugomvi nduguKwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Muarabu ndo kakujengea barabara ya KibitiSasa unauliza swali na kujijibu mwenyewe au unataka jibu?
Hoja ukiiona utaijua au mpaka urejee alichokuambia Muarabu kwanza?
Kosa liko kukubali halamu moja na kukataa halamu nyingine.
Mpira wa miguu ni haramu kwa mujibu wa dini ya haki.
Vivulana na visichana vicheza mpira kwa kuvaa vibukta tu na kuonesha vipaja vyao hadharani ni Haramu kubwa sana mbele ya Mtume.
We una au Aya Hadithi ya kuhalalisha mchezo wa mpira wa miguu ?una aya au Hadithi kuwa mpira wa miguu ni haramu
Wewe wanena tu ndugu yangu. Unaweza kuwa muislam na usifanye mema yanayompendeza Mungu sasa wewe tukuite nani. Nilikuwa ninasikiliza kisa cha hawa dada zetu wakenya wanokwenda kufanya kazi Soud Arabia wanavyoteswa nikasikitika sana. Ninashukuru hapa kwetu waislam wanajitambua angalau kwa kutenda mema. Hitimisho langu kama hatufanyi mema basi wote tujiite tu makafir uwe mwislam au mkiristo. Usiite mwenzako kafir kwa ajili ya dini yake maana mwisho wa siku Mungu atapima matendo yetu na siyo dini uliyonayo.Makafir wanaumia
We una au Aya Hadithi ya kuhalalisha mchezo wa mpira wa miguu ?
Ambao watu wanaucheza wakiwa Uchi kutokana na Dini ya haki.
KABISA!!Kitendo cha kufanikiwa kuingiza World Cup Qatar ni Pigo kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Kiislamu
Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama