Na vichaa wenyewe ni ISIS, ALSHABAAB etcKwa yanayoendelea huko Qatar mmejionea jinsi uislam ulivyo dini ya kweli na ya haki
Sahivi huna haja ya kuelewa kwamba wale wale wanaopigania ushoga uenee ndo hao hao walipigania dini fulani ienee miaka 100 iliyopita rejea ishu ya Berlin conference.
Wazungu walivyokuja na ajenda ya kueneza dini yao miaka 100 iliyopita kupitia makoloni ndo nguvu hii hii wanayoitumia kueneza ushoga na usagaji duniani
Sasa hapo ni wewe uchague ufate kipi dini ya kweli au projects za watu?Ukitaka uamini nililokwambia someni machapisho ya hao hao waloleta dini fulani halafu ulinganishe na sasa utagundua kama walivyoweza kutupiga kwenye hiyo project ya kueneza dini ndo hivyo hivyo kwenye suala la ushoga
Kwa mantiki hiyo ni kichaa tu anayeweza kupinga kwamba uislam sio dini ya haki, waislam likija suala la maadili na dini huwa hawana utani kabisa lakini hao wa huko Ulaya sasa ni masikitiko kwakweli
Usiposhtuka mapema itakula kwako, wala sijaleta hii mada kwa nia mbaya lah lasha mimi naomba kila mtu afanye utafiti wake agundue ni dini ipi sahihi tu bila hivyo utakuja kulia na kusaga meno siku moja lazima ukweli usemwe tu
Mbona tunawakuta ulaya wakiwa limbukeni wa uhuru kwa kufanya lkolote as long as one is within the law? Ulaya wanakuwa so happy na uhuru wa huko utasikia wanasema Bwana haya kwetu huwezi kufanya tunabanwa na kulazimishwa kuishi maisha ya "kitumwa"...waislam likija suala la maadili na dini huwa hawana utani kabisa
Yanayompendeza mungu yupi? Na Kwa kupitia dini ipi?Hizi dini tunazishabikia tu ila Zina mapungufu mengi sanaaa muhimu fanya yanayo mpendeza mungu tu
Mm nimewaaelewaa Sana acha mashonga wanyooshwe vzrQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Kwani uongo???hamvai kobazi??Mlokua naiita dini ya kigaidi ya wafia dini leo hii ndo dini inayopigana vita dhidi ya ushoga duniani asante Qatar
Tuliitwa wafia dini humu
Tuliitwa magaidi humu
Tuliitwa wavaa kanzu fupi humu
Tulikejeliwa kwa kuitwa wafuasi wa mwamedi
Tuliitwa wavaa makobazi
Tuliitwa majina chungu nzima ilimradi tu kutukejeli na kutuchachavya na kutupaka matope leo hii ndo sisi sisi tuloionyesha dunia njia sahihi
Ndo sisi sisi tunaosimamia sheria za Mungu angalieni kule Qatar
Ni suala la muda tu kuna siku mtaelewa kuwa uislam ndo dini pekee ya kweli hizi nyingine zote ni fix tu
Huamini do your own research utaelewa nachomaanisha
Mbona magaidi wa kiislamu wote wanapinga mambo ya michezo ikiwamo mpira wa miguu.
Ijumaa na jumamosi Mtume Mwamposa alikuwa katika mji wa Musoma na zaidi ya waislamu 600 wameombewa na kupona na wamekiri kwamba Yesu ndio njia ya kwenda mbinguni.
Sasa wewe zubaa hapo bado ukigonga kichwa sakafuni utaenda motoni tu maanake hamna namna.
Mkuu mm nampenda mwamposa San namkubali SanMbona magaidi wa kiislamu wote wanapinga mambo ya michezo ikiwamo mpira wa miguu.
Ijumaa na jumamosi Mtume Mwamposa alikuwa katika mji wa Musoma na zaidi ya waislamu 600 wameombewa na kupona na wamekiri kwamba Yesu ndio njia ya kwenda mbinguni.
Sasa wewe zubaa hapo bado ukigonga kichwa sakafuni utaenda motoni tu maanake hamna namna.
Hakuna dini itakupeleka mbinguni Bali matendo yako izo dini kiongozi wako wa dini wa dhambi kulko muhadzabe wa porini je muhadzabe hatoenda mbinguni kisa hamjui MuhammadYanayompendeza mungu yupi? Na Kwa kupitia dini ipi?
Hakuna dini itakupeleka mbinguni Bali matendo yako izo dini kiongozi wako wa dini wa dhambi kulko muhadzabe wa porini je muhadzabe hatoenda mbinguni kisa hamjui Muhammad
Ok vipi Babu zako waliokufa kabla ya uyo mfanyabiashara za watumwa (mwarabu) hawatoenda mbinguni?
Unadhani ni kua uislam tu ndo wakwenda mbinguni vipi mkristo alie mtumikia mungu vizuri kabsa
Mashoga wamekasilika kuambiwa hakuna kutibuana mitaloNani kakuambia mchezo was soka Ni wa Waingereza
Atheist huna hoja Cha muhimu No Alcohol