Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Red Card ile...
Ila Refa kawabeba na mbeleko ya turubai wakubwa
Ila Refa kawabeba na mbeleko ya turubai wakubwa
Kwanini unashangilia hivi vitimu vya hovyo hovyo? Achana navyo banaaaa lol!!!
hapana hatukupinga
kipa Brazil yellow card
afadhali twende #teamcolumbia
Kadi nyekundu hii maana ile ni scoring opportunity
Kosa la Scolari leo ni kumuanzisha Maicon...