BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Kwanini unashangilia hivi vitimu vya hovyo hovyo? Achana navyo banaaaa lol!!!
hahaha tulishajiandaa .......
hahaha tulishajiandaa .......
Kwa nini? Ile imepigwa kiufundi kama zile za D Beckham enzi hizo. Usimlaumu kipa.
Colombia alionekana mwamba kwa sababu alikutana na team vibonde kujumlisha na Uruguay ya bila Suarez ndo kabisa.Germany atatolewa na Brazil
hivi tulipinga vile mimi na wewe? hebu nikumbushe basi.
Luiz na Silva wanavyokumbatiana mmmh ingekuwa mitaa ya nilipo watu wangesema vingine.
Neymar Jr mtunzie heshima asee!!
muda badoColumbia wamekata tamaa mashabiki nao hoi
Shakira mjanja alijua Columbia hawawezi kuchomoa hii game ndio maana akaja na ahadi za kutembea uchi barabarani