palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
bonge la kaunta ataki kwa aljeria
Dah kipa wa france kajitoa mhanga ilikuwa majanga hapo!
Beki ya Germany inashake sana leo
ni germany mkuu
Asante mkuu fikra za gemu ilyoisha bado hazjanitoka!
Asante mkuu fikra za gemu ilyoisha bado hazjanitoka!