s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 465
Timu za Europe watoe sababu zao zisio na msingi basi Final ipigwe nje ya nchi Alaska.
Hawana lolote champions League wakipigwa na timu za Russia wanasingizia baridi kali.....kufungwa ni kufungwa tu!
Timu za Europe watoe sababu zao zisio na msingi basi Final ipigwe nje ya nchi Alaska.
tupo tupo tunakufa na tai zetu shingoni
Kwani kuna ubaya tukiiaga Holland muda huu?
#teammexico #
hahahahah yani wanakufa holand kiduwanzi ivi, I cant beliv
Hakuna cha joto wala nini! Wapigwe tu! Mbona akina Giovanni nao wametoka Ulaya juzi juzi tu?
pole sana banane miguu mpate goli