Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
latatu hapa Mtani.
Nataka kujua uko team gani. Niliona sehemu uko Ureno. Hivi kwanini unapenda mabomu? Angalia yanavyokulipukia mtani.
latatu hapa Mtani.
Ameniuzi kama alivyonitibua casillas yaani makipa wengine ni mizigoKipa huyu mhhh
German leo watawapiga ureno kama walivyowapiga saudia 8 kule japani!
Natabir 3-2 portugal tunashinda
![]()
Hhahaha Ronaldo ana kazi.
Kabisa mkuu.
Sasa hapa sijui katukana huyu pepe akili yake kiazi kweli.