World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haya mashabiki wa Portugal...Nawasilisha....

f3e30f9e128bf7d011e6c89d841ad6bb-getty-98739047jd003_spain_v_portu.jpg
 
hizo timu zako unazoshangilia mkuu mpaka sasa hivi ulitakiwa ushabadilisha jina umekuwa panadol lol maanake ni za kuumiza kichwa tu lol.

mie leo upande wa Spain kabla sijaaanza kuyataarisha mavuvuzela kwa ajili Ghana.

hehehe mkuu hakikisha unabaki mpaka mwisho wa gemu, SPAIN anaaga mashindano ndani ya 90 leo.
 
Ha ha..yani nimeanza kumsahau kwa mbali tangu aondoke OT halafu Villa,Xavi&Torres nawamind! sielewi nishangilie timu gani leo.......

nje kabisaaa ya mada.....huu MGUU kama naujua.....ngoja nikumbuke nimeuona wapi.......
 
Portugal Portugal Portugal
 
Duh!!!...BJ,....Mwenzio hapa nilikua naangalia mpira tu lakini hio miguu hapo kwenye avatar yako...mmmhhhh!!
Nimechoka jamani....:biggrin1:

Ab-T mwanamke high heels tena ukiwa na guu!..ha ha,pole mwaego!!.ukiona hivyo leo mpira utanoga mana macho yamechangamka!!..Mie nipo kotekote leo!!!
 
Ha ha..yani nimeanza kumsahau kwa mbali tangu aondoke OT halafu Villa,Xavi&Torres nawamind! sielewi nishangilie timu gani leo.......

lol najua jibu utalipata baada goli la kwanza, mpira unaonekana utakuwa mzuri sana kwahio kuuchangamsha zaidi taja tu timu yako mapema sio unasubiri goli lool.
 
Inaelekea itakuwa mechi nzuri..leo naangalia tu!!

jifanye uko neutral leo....utashangalia timu itakayoshinda baada ya mechi kuisha lol!....mie yule Venus kaniudhi leo wamenfungasha virago kule Wimbledon kwa hiyo hapa nategemea raha toka kwa Wareno.
 
Portugal wanapata kona ya 2 baada ya kuponea chupu chupu mara kibao: Mhh ngoja niendelee kuangalia tu.
 
nje kabisaaa ya mada.....huu MGUU kama naujua.....ngoja nikumbuke nimeuona wapi.......

wewe umeuona wapi acha kunichuuza bwana,ila uniambie pm sio jamvini!..au umeufananisha na wa mamsapu wako,kama hivyo ana usafiri mzuri!!..
Leo naona upo Portugal,una hatari kijana!!
 
Duh!!!...BJ,....Mwenzio hapa nilikua naangalia mpira tu lakini hio miguu hapo kwenye avatar yako...mmmhhhh!!
Nimechoka jamani....:biggrin1:

hahahahahahaha umeona eh! lol una macho kweli Mkuu....basi we endelea tu kushangaashangaa na hiyo avatar wakati sisi tunaendelea na mpira...kukiwa na goli tutakushtua lol!
 
Back
Top Bottom