World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

pembeni nacheki kwa mbali lol
nina kimuhemuhe leo,,,sijui nitalala?
ebu ngoja kwanza
 
Mkuu naona ushatia timu eti,

Word from the grapevine ni kua Chile respect Brazil but dont fear them....whatever that means.

Meanwhile yule mtu wako wa nanihii huyu hapa kakusalimia....:A S 103:

dah huyu mdada anaweza akanifanya nikapendelea BRAZIL anytime , haya majaribu mengine yatatuondoshea uzalendo aisee hehehehe
 
Hapa sijui kama kuna mtu ana-support Chile jamani!!!...Ngoja nisubiri.

Nilimuona mtu katika mechi iliyotangulia alikuwa na Waholanzi lakini alisema mechi hii atakuwa na underdogs Chile, nadhani ni Klorokwini but I am not 100% sure.
 
Umeona walivyojaa kule kwao Copacabana Beach?..Utadhani nzige!
2014 patakua hapatoshi na nadhani watajaza wao Stadium zote.
Hawa watu wanapenda mpira kama sisi waswahili tunavyopenda kumegana, kwi kwi kwi!.
 
pamoja na majonzi wanayonipa....im still down with the UNDERDOGS...............
 
umekuja eeeh.....

ile CD ya "waka waka" umekuja nayo ,hapa leo tunataka kumchezesha BRAZIL orijinali ZANGALEWA. hakikisha unabaki mpaka 90 (nina hakika BRAZIL hafiki 120 anarejeshwa kwao)
 
ile CD ya "waka waka" umekuja nayo ,hapa leo tunataka kumchezesha BRAZIL orijinali ZANGALEWA. hakikisha unabaki mpaka 90 (nina hakika BRAZIL hafiki 120 anarejeshwa kwao)

Mkuu Ningependa sana iwe hivyo lakini Brazil watashinda, Hakika ningepnda Chile ashinde lakini Mh, Ngimu mwana
 
So far possesion ya Brazil iko juu utadhani wako kumi na tatu ndani ya uwanja!
Chile atabana tu lakini mwisho atatoa...:biggrin1:
 
Nilimuona mtu katika mechi iliyotangulia alikuwa na Waholanzi lakini alisema mechi hii atakuwa na underdogs Chile, nadhani ni Klorokwini but I am not 100% sure.

Ni yeye maana keshajitambulisha na anasema wakifungwa ata-log out bila kuaga ukumbi...LOL!
 
ile CD ya "waka waka" umekuja nayo ,hapa leo tunataka kumchezesha BRAZIL orijinali ZANGALEWA. hakikisha unabaki mpaka 90 (nina hakika BRAZIL hafiki 120 anarejeshwa kwao)

brasil ku....😛lane: ni ndoto.....
 
Mkuu naona ushatia timu eti,

Word from the grapevine ni kua Chile respect Brazil but dont fear them....whatever that means.

Meanwhile yule mtu wako wa nanihii huyu hapa kakusalimia....:A S 103:

ha ha ha asante sana mkuu hii ndio raha ya Brazil kucheza,wakina dada wao wanajua sana kuchangamsha viwanja .
 
BAK umeona eeh,Brazil taifa lingine bwana..Presha zimeshaisha bado ya Ghana tu kuimalizia kwa furaha wakishinda WC..Brazil wakishinda pepea bendeza zote mbili hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…