Yeah exactly...kuanzia goli la Henry kwenye qualifiers....magoli ya Marekani kukataliwa...Kaka kupewa kadi nyekundu...yaani hii WC controversial calls nyingi mno ambazo zingeweza kuondolewa na instant replay. It's just not fair
Waingereza sasa wanalalamika kuhusu kukoekana kwa "goal techology" kwenye mashindano makubwa kama WC lakini ingekuwa imepigwa golini kwao wangeongea mengine hapa hata wasingekubali hiyo ya teknolojia ya magoli. Though FIFA hawajakubali hilo goli lakini Waingereza wanachukua kama ni kigez cha kuzidi kulalamika kama watatolewa manake TV zao kama BBC zinarejea hilo goli utadhani kama ile France na Ireland.