Hivi nyie bado mnaangalia mpira wa England hawa walipata bahati ya kuendelea kwenye group lao la vibonde. Ngoja wasukwe sasa kelele ziishe. Vikongwe wenyewe akina Lamps na wakomba unga akina Terry? Sijui wamebugia unga kiasi gani leo maana walikuwa wanadai wake zao waje washuhudie huu mpambano.
Wengi wao walitua jana. Wamebahatisha kamoja. Na hako walikodhulumiwa watalilia hadi kiama