Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 26, 2010 #3,981 Nyani Ngabu said: Kubababababaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaake Click to expand... ha ha ha umeamka sio?
Nyani Ngabu said: Kubababababaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaake Click to expand... ha ha ha umeamka sio?
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 26, 2010 #3,982 nomaaa sana ugonjwa wa moyo wa mwisho kwenye world cup.mambo yakuangalia mpira kwa hasira wala sio starehe .
nomaaa sana ugonjwa wa moyo wa mwisho kwenye world cup.mambo yakuangalia mpira kwa hasira wala sio starehe .
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,885 Reaction score 129,920 Jun 26, 2010 #3,983 Abdulhalim said: Miafrika bana..inawapa ujiko US wa bure..Ngoja nitanbae zangu kwene sketi. Click to expand... teh teh teh ngoja nikufuate huku
Abdulhalim said: Miafrika bana..inawapa ujiko US wa bure..Ngoja nitanbae zangu kwene sketi. Click to expand... teh teh teh ngoja nikufuate huku
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,168 Jun 26, 2010 #3,984 Arsene Wenger said: ha ha ha umeamka sio? Click to expand... Hooters pamelipuka kaa Hiroshima babu....ahahhahahahaaaaaa....loooooh
Arsene Wenger said: ha ha ha umeamka sio? Click to expand... Hooters pamelipuka kaa Hiroshima babu....ahahhahahahaaaaaa....loooooh
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 26, 2010 #3,985 Abdulhalim said: Miafrika bana..inawapa ujiko US wa bure..Ngoja nitanbae zangu kwene sketi. Click to expand... Ha ha tulia yakhe, ndo kwanzaa asubuhi ati!.
Abdulhalim said: Miafrika bana..inawapa ujiko US wa bure..Ngoja nitanbae zangu kwene sketi. Click to expand... Ha ha tulia yakhe, ndo kwanzaa asubuhi ati!.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 26, 2010 #3,986 huyu kocha wa ghana huwa ananifanya mpaka nisahau kama Muntari ni mghana kwa jinsi anavyompiga bench.
huyu kocha wa ghana huwa ananifanya mpaka nisahau kama Muntari ni mghana kwa jinsi anavyompiga bench.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 26, 2010 #3,987 Nyani Ngabu said: Hizi mbawa za kuku zilikuwa haziliki sasa appetite imerudi Click to expand... ha ha unakula mboga sio, kwi kwi kwi!.
Nyani Ngabu said: Hizi mbawa za kuku zilikuwa haziliki sasa appetite imerudi Click to expand... ha ha unakula mboga sio, kwi kwi kwi!.
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 573 Jun 26, 2010 #3,988 ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2.
........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2.
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Jun 26, 2010 #3,989 Nani hakujua kwamba Ghana kuifunga USA ni kazi ngumu? USA wameizidi Ghana kimpira miaka yote. Kibaya zaidi wanajiona kama wanajua mpira kuliko USA.
Nani hakujua kwamba Ghana kuifunga USA ni kazi ngumu? USA wameizidi Ghana kimpira miaka yote. Kibaya zaidi wanajiona kama wanajua mpira kuliko USA.
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,273 Jun 26, 2010 #3,990 Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... Ha ha naona unaanza kuwarudi sio.
Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... Ha ha naona unaanza kuwarudi sio.
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Jun 26, 2010 #3,991 Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... wanawapa ujiko tu hawa mabwenyenye
Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... wanawapa ujiko tu hawa mabwenyenye
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,168 Jun 26, 2010 #3,992 American haters eat a prick
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Jun 26, 2010 #3,993 Nyani Ngabu said: American haters eat a prick Click to expand...
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 26, 2010 #3,994 Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... Ghana wana kipa mzuri mkuu, wasiwasi wangu ni hizi dakika za mwisho!
Pretty said: ........Tatizo Ghana walivyofunga kigoli kimoja basi walijiona wamewin, sasa wakifanya mchezo hapa USA itafunga la 2. Click to expand... Ghana wana kipa mzuri mkuu, wasiwasi wangu ni hizi dakika za mwisho!
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 26, 2010 #3,995 Nyani Ngabu said: American haters eat a prick Click to expand... we r not american haters mkuu we r african lovers lol.
Nyani Ngabu said: American haters eat a prick Click to expand... we r not american haters mkuu we r african lovers lol.
Rev. Kishoka JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 4,526 Reaction score 1,552 Jun 26, 2010 #3,996 Hivi how much did Ghana get paid to loose this game?
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Jun 26, 2010 #3,997 4 dangerous minutes left...
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Jun 26, 2010 #3,998 goaaaaaaaaaaaallllllllllllllll safi sana Ghana! (natania jamani LOL)
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,155 Reaction score 137,168 Jun 26, 2010 #3,999 Arsene Wenger said: we r not american haters mkuu we r african lovers lol. Click to expand... Nyinyi hamjui tu. Haya magana yanatudharau sana sisi....na yafungwe tu yaondoke
Arsene Wenger said: we r not american haters mkuu we r african lovers lol. Click to expand... Nyinyi hamjui tu. Haya magana yanatudharau sana sisi....na yafungwe tu yaondoke
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Jun 26, 2010 #4,000 Rev. Kishoka said: Hivi how much did Ghana get paid to loose this game? Click to expand... waafrika wala huitaji kuwalipa mkuu ,unawaacha tu watimize uafrika wao na haya ndio matokeo yake. jamaa wameenda kufanya maisha magumu bila sababu.
Rev. Kishoka said: Hivi how much did Ghana get paid to loose this game? Click to expand... waafrika wala huitaji kuwalipa mkuu ,unawaacha tu watimize uafrika wao na haya ndio matokeo yake. jamaa wameenda kufanya maisha magumu bila sababu.